OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Rasta zipo nyingi pale. Unamaanisha rasta bishoo?Kama unakuja tarehe 4 Agosti kumuangalia rasta nakusihi usijisumbue. Hutamuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rasta zipo nyingi pale. Unamaanisha rasta bishoo?Kama unakuja tarehe 4 Agosti kumuangalia rasta nakusihi usijisumbue. Hutamuona
Vyema. Hiko kirusi kibakie huko huko kiliko au kiende kwa majini fc.Kama unakuja tarehe 4 Agosti kumuangalia rasta nakusihi usijisumbue. Hutamuona
Haiwezekani jamaa kwenda Simba.Endelea kuugulia lakini jamaa hawezi kuja kuvaa SANDA🤣🤣🤣🤣
Siyo kwa mpanzu kile ni kipaji siyo juhudi, hao unaowazungumzia ni wachezaji wenye juhudi kama kibuWatu wanaokuaga wanapewa kipaumbele na kash kash kama Mpanzu
Huwa wanakujaga kuflop mpaka unaweza ukalia
Sema na hili..Wakala wa Ellie Mpanzu amesema Viongozi wa Simba ni janja janja sana yaani mpaka huelewi unadeal na nani maana kila Kiongozi yupo front. Kiasi kwamba katika dili iliyopita walimrusha dola zake 5,000 mpaka kesho. Labda wamlipe hizo dola zake ili warudishe imani ndio awezeshe dili la Mpanzu.
Huo moto awapelekee wazee wake huko kijijini wakaote, huku Dzim ni joto, hivyo huo moto wake hatuna kazi nao.Unaumia pole?
Huyo ni dalali tu asikupe kiburi jianda kwa maumivu wakala hawai kuzuia mchezaji kwenda timu fulani kama huyo mchezaji anataka kuchezea timu, ila mchezaji ana uwezo wa kuikataa timu na wakala asifanye chochote, Boss wa Wakala ni mchezaji
Kaa kwa kutulia Tarehe 8 mpanzu yupo tayari kwa kuwapelekea moto
Sawa wakala.$5000, ni sawa na M13+ kwa pesa yetu ya mabungo.
Tunacho ongopeana vijiweni ni nini?
Kwani ni uongo kua wakala wa Mpanzu anawadaini vibunda vyake?
Kuna watu wameaminishwa kwamba rasta bingwa wa kukanda atatangazwa Agosti nneRasta zipo nyingi pale. Unamaanisha rasta bishoo?
Deal la Elia nalo limefikia wapi?.Kuna uwezekano mkubwa wa Simba kumuuza Kibu Denis nchini Norway kwenye klabu ya Kristiansand kama atafuzu majaribio yake yanayoanza rasmi tarehe 29 July
Kibu anafuzu vizuri tu majaribio wala hilo halina shida kabisa, uzuri wa yule jamaa anafindishika vizuri mnoKuna uwezekano mkubwa wa Simba kumuuza Kibu Denis nchini Norway kwenye klabu ya Kristiansand kama atafuzu majaribio yake yanayoanza rasmi tarehe 29 July
Namin wana Bilioni 2.7 Tanzania shillings za kuweka kwenye akaunti ya simba sports club.Kuna uwezekano mkubwa wa Simba kumuuza Kibu Denis nchini Norway kwenye klabu ya Kristiansand kama atafuzu majaribio yake yanayoanza rasmi tarehe 29 July
Anafundishika kwenye kukimbia, kukaba na kuwakanda yanga.Kibu anafuzu vizuri tu majaribio wala hilo halina shida kabisa, uzuri wa yule jamaa anafindishika vizuri mno
Tunza haya maneno mkuu, kipindi akikukwamisha usije kumlaum.Siyo kwa mpanzu kile ni kipaji siyo juhudi, hao unaowazungumzia ni wachezaji wenye juhudi kama kibu
Viongozi wa Simba wengi pale ni madalali! Hawawezi kuchukua maamuzi yeyote ya kinidhamu! Hapo kuna viongozi wako nyuma ya kibu denis wanamuongoza ili wapate pesa kwenye hizo sarakasi zake!Mlimpa uraia mtu mpumbavu asie na shukrani na anayejiona staa na kuwaona wengine wajinga.
Wewe umepewa pesa zote za mkataba na mshahara, gari na mengineyo.
Sasa hatua ya kwanza kama una adabu laazma uripoti eneo lako la kazi..sasa kama kuna timu nyingine umeona wamekupa ofa au wameleta ofa imekufikia na ni kubwa, ustaarabu ni kumuita wakala wako waje waongee na uongozi ili taratibu zifuatwe, kama unavunja mkataba na kurudisha pesa zawatu au timu inayokutaka wanunue mkataba uliokua nao, mbona ni mambo marahisi sana yanayohitaji akili na weledi, mnaagana basi. Sasa hizi ngonjera hata viongozi wa simba ni wapumbavu mana wana entertain upumbavu
Hatutaki mfumo wa kiungu mtu, mfumo wa kutukuza mtu, anataka kuchukua mkopo kwa dhamana ya mali za club huo mkopo utalipwaje,Viongozi wa Simba wengi pale ni madalali! Hawawezi kuchukua maamuzi yeyote ya kinidhamu! Hapo kuna viongozi wako nyuma ya kibu denis wanamuongoza ili wapate pesa kwenye hizo sarakasi zake!
Simba ili ipate mafanikio lazima bodi ya watu wajuaji iondoke na utumike mfumo kama wa yanga wa GSM kumuweka mfanyakazi wake ili aongoze! Ndio utakuwa mwarobaini wa matatizo.
Ungewazuia wasimualikeWenzetu wanataka mtu anaekimbia na mpira sio anaekimbiza mpira.
Asipopita ok, ila Akipita nafasi ya majaribio akasajiliwa wewe ndo utakuwa ni mwongo au wao ndo hawajui?Anafundishika kwenye kukimbia, kukaba na kuwakanda yanga.
Ukitoa hivyo kibu ni mpoteza mipira mzuri na papara kibao mwishoe anapoteza nafasi.
Wenzetu wanataka mtu anaekimbia na mpira sio anaekimbiza mpira.