Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Wakala wa Ellie Mpanzu amesema Viongozi wa Simba ni janja janja sana yaani mpaka huelewi unadeal na nani maana kila Kiongozi yupo front. Kiasi kwamba katika dili iliyopita walimrusha dola zake 5,000 mpaka kesho. Labda wamlipe hizo dola zake ili warudishe imani ndio awezeshe dili la Mpanzu.
Sema na hili..
Matimu mingi inamtafuta(Mpanzu)lakini majamaa zangu ni Simba..Papii..wakala wa Mpanzu..
 
Unaumia pole?

Huyo ni dalali tu asikupe kiburi jianda kwa maumivu wakala hawai kuzuia mchezaji kwenda timu fulani kama huyo mchezaji anataka kuchezea timu, ila mchezaji ana uwezo wa kuikataa timu na wakala asifanye chochote, Boss wa Wakala ni mchezaji

Kaa kwa kutulia Tarehe 8 mpanzu yupo tayari kwa kuwapelekea moto
Huo moto awapelekee wazee wake huko kijijini wakaote, huku Dzim ni joto, hivyo huo moto wake hatuna kazi nao.
 
Kuna uwezekano mkubwa wa Simba kumuuza Kibu Denis nchini Norway kwenye klabu ya Kristiansand kama atafuzu majaribio yake yanayoanza rasmi tarehe 29 July
 
Kuna uwezekano mkubwa wa Simba kumuuza Kibu Denis nchini Norway kwenye klabu ya Kristiansand kama atafuzu majaribio yake yanayoanza rasmi tarehe 29 July
Deal la Elia nalo limefikia wapi?.
Naona watu wanapigana vikumbo kila mmoja akiongea lake
 
Kuna uwezekano mkubwa wa Simba kumuuza Kibu Denis nchini Norway kwenye klabu ya Kristiansand kama atafuzu majaribio yake yanayoanza rasmi tarehe 29 July
Kibu anafuzu vizuri tu majaribio wala hilo halina shida kabisa, uzuri wa yule jamaa anafindishika vizuri mno
 
Kuna uwezekano mkubwa wa Simba kumuuza Kibu Denis nchini Norway kwenye klabu ya Kristiansand kama atafuzu majaribio yake yanayoanza rasmi tarehe 29 July
Namin wana Bilioni 2.7 Tanzania shillings za kuweka kwenye akaunti ya simba sports club.
 
Kibu anafuzu vizuri tu majaribio wala hilo halina shida kabisa, uzuri wa yule jamaa anafindishika vizuri mno
Anafundishika kwenye kukimbia, kukaba na kuwakanda yanga.

Ukitoa hivyo kibu ni mpoteza mipira mzuri na papara kibao mwishoe anapoteza nafasi.

Wenzetu wanataka mtu anaekimbia na mpira sio anaekimbiza mpira.
 
Mlimpa uraia mtu mpumbavu asie na shukrani na anayejiona staa na kuwaona wengine wajinga.

Wewe umepewa pesa zote za mkataba na mshahara, gari na mengineyo.

Sasa hatua ya kwanza kama una adabu laazma uripoti eneo lako la kazi..sasa kama kuna timu nyingine umeona wamekupa ofa au wameleta ofa imekufikia na ni kubwa, ustaarabu ni kumuita wakala wako waje waongee na uongozi ili taratibu zifuatwe, kama unavunja mkataba na kurudisha pesa zawatu au timu inayokutaka wanunue mkataba uliokua nao, mbona ni mambo marahisi sana yanayohitaji akili na weledi, mnaagana basi. Sasa hizi ngonjera hata viongozi wa simba ni wapumbavu mana wana entertain upumbavu
Viongozi wa Simba wengi pale ni madalali! Hawawezi kuchukua maamuzi yeyote ya kinidhamu! Hapo kuna viongozi wako nyuma ya kibu denis wanamuongoza ili wapate pesa kwenye hizo sarakasi zake!
Simba ili ipate mafanikio lazima bodi ya watu wajuaji iondoke na utumike mfumo kama wa yanga wa GSM kumuweka mfanyakazi wake ili aongoze! Ndio utakuwa mwarobaini wa matatizo.
 
Hatutaki mfumo wa kiungu mtu, mfumo wa kutukuza mtu, anataka kuchukua mkopo kwa dhamana ya mali za club huo mkopo utalipwaje,

mtakuja kupita kwenye tanulu la moto hamtoamini, hamna mkataba na GSM ni mdhamini tu akiamua kusepa leo na kuwaachia mlipe madeni si yanarudi yale ya kutembeza bakuri

wale akina mzee magoma si wajinga,
 
Philippe Kinzumbi has asked Raja Club Athletic to terminate his contract. [emoji599]

He’s refusing to travel to join the team for pre season.

Wachezaji wa Congo Wanashida gani, huyu Kinzumbi kapatwa na nini mpaka atake kuvunja mkataba
 
Anafundishika kwenye kukimbia, kukaba na kuwakanda yanga.

Ukitoa hivyo kibu ni mpoteza mipira mzuri na papara kibao mwishoe anapoteza nafasi.

Wenzetu wanataka mtu anaekimbia na mpira sio anaekimbiza mpira.
Asipopita ok, ila Akipita nafasi ya majaribio akasajiliwa wewe ndo utakuwa ni mwongo au wao ndo hawajui?
 
Back
Top Bottom