Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Aziz Ambangile Mwambalaswa
Kwa sasa naona wachezaji wazawa wanakuja kula mafao na kufanya mazoezi basi.

Ligi ikianza wengi hata kwenye mbao ndefu hawatapata nafasi hiyo ya kuikalia.
 
Namba 2 na 38 ya kwanza kama sijaelewa
 
Rasmi
 

Attachments

  • EA5A295D-212A-404F-A783-9BB2A0887AC5.jpeg
    1.2 MB · Views: 14
Nguruwe FC wapo kwenye maongezi ya kumuongezea mkataba Mzee Saido!
 
5imba ni timu tishio barani Africa wanaosema ni mbovu wana wivu
 

Hoja yako ya timu kunufaika na maamuzi sio haipo kwa Yanga peke yake hata Simba imekuwa ni mnufaika wa maamuzi ya marefarii. Kwa msimu huu Simba na Yanga ni timu ipi ilipata magoli mengi ya penati? Magoli yote ya Saidoo msimu huu yametokana na penati.
Mechi ya Yanga dhidi ya Kagera ni kweli Yanga amepata point 1 kimamosa lakini sitaki kukubaliana nawewe kuwa Yanga walinunua hiyo mechi kwa kuwaonga waamuzi bali Yanga alipata point 1 kutokana na kutokuwa makini waamuzi. Yanga iweze kuimudu Al Ahly, Belouizdad, Medeama na Mamelodi bila mchezo mchafu ina haja gani ya kufanya mchezo mchafu kwa timu ya kawaida kama Kagera?

Mechi ya Yanga vs Prison, mchezaji wa Yanga ndiye aliyetangulia kupata red card, kama ingekuwa kuna mchongo hata kadi nyekundu kwa mchezaji wa Yanga isingetolewa.

Jambo lingine ni kwamba sio timu kuwa pungufu ndio guarantee ya kushinda mechi, timu inaweza kuwa pungufu na kama hauna kikosi chenye ubora unaweza kupata sare au kupoteza pia. Simba imecheza na Mashujaa iliyokuwa pungufu tangu first half je iliweza kushinda? Simba ilicheza na Prisons na kufungwa goli 2 huku mchezaji wa Prisons akitolewa kwa kadi nyekundu.

Yanga wameonewa mechi mbili mfululizo dhidi ya Kagera mechi ya marudiano, kwa kuambiwa offside kila goli huku mechi dhidi ya Mtibwa ikawa na offside ya kituko. Lakini ubora wa Yanga ukaifanya wa score hata kama waamuzi wanalazimisha matokeo yasiwe upande wa Yanga. Lakini upande Simba imegeuka kuwa na udhuru na magoli ya offside, dhidi ya Dodoma jiji Freddy alikuwa yupo eneo la kuotea.

Hakuna timu isiyonufaika na maamuzi ya waamuzi ndio maana huko ulaya wameamua kuweka VAR ilimradi kupunguza makosa ya waamuzi viwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…