Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Mshaleta visingizio vya Yanga kuongoza ligi kwa kutoa bahasha,au siyo!?
Sajilini acheni kelele na taarabu.
 
Vipi msimamo wako juu ya Namungo, Coastal na Prisons zilikuwa zinatamba mbele ya Yanga kabla ya GSM kuwadhamini umeifuta au bado una msimamo huo? Maaana ulitaka tuangalie mechi za nyuma kabla ya udhamini wa GSM nimekupa na zimekataa hoja yako
 
Mkuu hivi unafuatilia mpira!?
Mbona timu ulizotaja msimu huu Yanga alipata tabu kupata matokeo?
Tena kama coastal Yanga anakuja kupata goli dakika za jioni ten goli moja.
Umefuatilia Mpira na Ihefu nusu fainali CRDB?
Umefuatilia game ya ihefu Mbarali ya 2-1 dhidi ya Yanga?
Je hapo upinzani haukuoneshwa??
Embu kuwa reasonable basi mkuu.
 
Tofauti na 5imba kuna timu imefungwa goli 7 na Yanga msimu huu? huko nako GSM kahusika?
 
GSM ameimiliki yanga tangu lini?
Yanga ni team ya wanachama
Wapo kwenye mchakato wa kubaini thamani ya club ndo wauze hisa.

GSM hana hisa Moja yanga
Yeye yupo yanga kutangaza biashara zake.
Mbona hulaumu sportpesa na mbet.
Au asas.
Hivi nyie mbumbumbu mlilogwa?
 
Sportpesa ana wafanyakazi wake Yanga ? Sportpesa ni mmiliki wa time Gani? Unadhani timu unaingia tu na kuanza kuiendesha?
 
Vipi msimamo wako juu ya Namungo, Coastal na Prisons zilikuwa zinatamba mbele ya Yanga kabla ya GSM kuwadhamini umeifuta au bado una msimamo huo? Maaana ulitaka tuangalie mechi za nyuma kabla ya udhamini wa GSM nimekupa na zimekataa hoja yako
Matokeo si umeyaonesha? Au hujayaelewa?
 
Sportpesa ana wafanyakazi wake Yanga ? Sportpesa ni mmiliki wa time Gani? Unadhani timu unaingia tu na kuanza kuiendesha?
Kweli wewe ni mbumbumbu kabisa.
Kwaiyo GSM asijitangaze kisa wewe kapuku na ushabiki wako .
Kwaiyo kuwa mfanyakazi wa GSM ni gereza hawezi hata kuwa katibu wa kigango
 
Kweli wewe ni mbumbumbu kabisa.
Kwaiyo GSM asijitangaze kisa wewe kapuku na ushabiki wako .
Kwaiyo kuwa mfanyakazi wa GSM ni gereza hawezi hata kuwa katibu wa kigango
Dada inaonekana ni shabiki maandazi hujui kanuni za umiliki na udhamini wa vilabu vya mpira
 
Mbona simba wachezaji ni wengi sana kwenye tetesi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…