- Thread starter
- #121
Never broTarehe 9/6
Chama anatangazwa Kwa wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Never broTarehe 9/6
Chama anatangazwa Kwa wananchi
Kipindi Barbara ni CEO wa Simba hakua muajiliwa wa MeTL?Sportpesa ana wafanyakazi wake Yanga ? Sportpesa ni mmiliki wa time Gani? Unadhani timu unaingia tu na kuanza kuiendesha?
MeTL ilimiliki na kudhamini Simba na timu gani nyingine?Kipindi Barbara ni CEO wa Simba hakua muajiliwa wa MeTL?
Singida United.MeTL ilimiliki na kudhamini Simba na timu gani nyingine?
PoleSingida United.
YeahBoka tayari Yanga..
Ametokea wapiAlexander Santos to Simba?
Bado ni 50/50. Ni kocha wa Petro Atletico ya AngolaAmetokea wapi
Nafasi gani anacheza?Ni rasmi sasa, Elia Mpanzu ni mnyama
Ni mcheza mdogo striker.Nafasi gani anacheza?
Winga wa kulia na kushotoNafasi gani anacheza?
Thank youNa Guede vp?
Saidoo siyo namba 10 kweli?Ivi simba kusajili namba 10 haijawah kua kipaumbele chao toka wawe na Chama miaka yote? Maana mawinga ndo kipaumbele chao kabisa