Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

1718239439328.jpg

Official, Musonda kasajili TP Mazembe.
 
Kwaiyo makolo wanataka kusajiri kikosi kizima.!
Uyo kiungo mkabaji anaewindwa na yanga hapo namba 6 ni nani.
Ukihesabu wachezaji wanaotakiwa kusajiliwa simba wanajaza lori zima, ila pia nasikia Simba wanataka kusajili mashabiki wa Yanga wanaobweka na benchi la ufundi la Coastal union au KMC.

Simba mdebwedo bye bye ligi kuu!! Hapa hesabu zetu uto ni kupambana na Azam ,kidogo wameleta upinzani, simba ni underdog tu kwasasa bila msaada wa refa droo wanaitafuta kwa tochi
 
Back
Top Bottom