Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Kitu ambacho nakiona kwa Simba wameamua kurudi kwenye uhalisia wao, simba miaka yote ni aina ya timu yenye viungo wengi,ni timu ambayo haijawahi kukaukiwa na viungo wazuri, ila ivi karibuni waliamua kaama eneo ilo na kuanza kufuata nyaza za yanga za miaka ileeee za kua na mawinga wengi kuliko viungo wa kati ambayo Yanga pia walishatoka uko miaka minne sasa, kwaiyo simba kwa usajili wa viungo zaid ni hatua na faida ambayo tutaiona msimu utakapoanza.
 
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom