Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Awesu au Omary OmaryNani anashushwa saa 5?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awesu au Omary OmaryNani anashushwa saa 5?
Nasikia huyu mwamba ni zaidi ya kocha msaidizi pale klabuni.Matola hajapata team ya league kuu bado..?
Omary omary anacheza nafas gan uwanjani mkuu..mim nikajua leo ni mpanzu aiseWengine wanatolewa Kwa mkopo
Mbeba mizigo sio..? HahaNasikia huyu mwamba ni zaidi ya kocha msaidizi pale klabuni.
Wa timu gani hao wanakotoka?Awesu au Omary Omary
Mashujaa FCWa timu gani hao wanakotoka?
Awesu anakuja Simba?Awesu au Omary Omary
Mchezaji aina ya Kanoute ni muhimu sana kwenye timu,akibaki ni sawa na akienda pia ni sawa.Huyu mbona kama alikua bado anahitajika?
Au ametaka mwenyewe kuondoka?
Ni muhimu halafu akienda ni sawa?Kanoute ni muhimu sana kwenye timu,akibaki ni sawa na akienda pia ni sawa.
Anakaa anaumia umia, hawezi kupiga pasi. Pira biriani litatoka wapi?Mchezaji aina ya Kanoute ni muhimu sana kwenye timu,akibaki ni sawa na akienda pia ni sawa.
Uko sahihiKitu ambacho nakiona kwa Simba wameamua kurudi kwenye uhalisia wao, simba miaka yote ni aina ya timu yenye viungo wengi,ni timu ambayo haijawahi kukaukiwa na viungo wazuri, ila ivi karibuni waliamua kaama eneo ilo na kuanza kufuata nyaza za yanga za miaka ileeee za kua na mawinga wengi kuliko viungo wa kati ambayo Yanga pia walishatoka uko miaka minne sasa, kwaiyo simba kwa usajili wa viungo zaid ni hatua na faida ambayo tutaiona msimu utakapoanza.
Ni maskini wa kutupwa tu ndio anakua na kauli hizi. Pole sana.Ball boy huyo Bi. Debora
Ni maskini ( mchawi/mwanga) wa kutupwa ambaye anasubiri kufa tu ndio anaweza kutukana hivi. Pole sana dogo.Naomba nisamee mkuu... We ni Qumer remix
Naomba nisamehe we matakohNi maskini ( mchawi/mwanga) wa kutupwa ambaye anasubiri kufa tu ndio anaweza kutukana hivi. Pole sana dogo.
Leo naona kuna mashine ya kivita. Sjui atakua naniLeo bado wawili.
Namsubiri Elias Mpanzu.Rasmi sasa, Valentine Nouma ni mnyama
wapi?Namsubiri Elias Mpanzu.