Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Kuhusu Kipa wa timu ya Horoya Moussa Camara ambaye pia yupo kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Guinea kwenda Simba ni kweli?
 
Viongozi wa Simba wengi pale ni madalali! Hawawezi kuchukua maamuzi yeyote ya kinidhamu! Hapo kuna viongozi wako nyuma ya kibu denis wanamuongoza ili wapate pesa kwenye hizo sarakasi zake!
Simba ili ipate mafanikio lazima bodi ya watu wajuaji iondoke na utumike mfumo kama wa yanga wa GSM kumuweka mfanyakazi wake ili aongoze! Ndio utakuwa mwarobaini wa matatizo.
Uko sahihi lakini kulingana na mchakato wa umiliki unavyozidi kusogea mbele, utaratibu unakulazimu kuwa na bodi na watendaji wengine wenye mamlaka zinazoeleweka. Hapo ndipo ugumu wa kuwa na mtu mmoja anayefanya kazi zote za msingi huja. Bodi ikishakuwepo maana yake Ina mamlaka na Kila mtu atapaswa awe na majukumu yake muwe mmeyapanga nyote na kukubaliana
 
Asipopita ok, ila Akipita nafasi ya majaribio akasajiliwa wewe ndo utakuwa ni mwongo au wao ndo hawajui?
Nimejibu kuhusu kufundishika.

Mambo ya kufaulu na kutokufaulu sujui Mimi hata wewe na Kibu hajui.
 
Kutofundishika ni kigezo cha kutokufaulu.
Sio wanaangalia kipaji na Style yake anavocheza?

Ndani ya mwezi mmoja atafundushwa nn ili wajue anafundishika au hafundishiki!!!
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Sio wanaangalia kipaji na Style yake anavocheza?

Ndani ya mwezi mmoja atafundushwa nn ili wajue anafundishika au hafundishiki!!!
Mpaka wamemwita tayari walishatazama style anavyocheza. Ndani ya mwezi kufundishana kupo boss, huwa wakienda ulaya kwa majaribio hata wakifeli huwa hawarudi bure, wanarudi na uzoefu fulani mpya waliojifunza huko.
 
Sawa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Taarifa zilizopo ni juu ya kuumia Kwa Ayoub Lakred na atakaa nje si chini ya wiki nne. Hii inaweza kuwa fursa ya Manula kurejeshwa kikosini, kusajili mzawa au kumsajili kipa mwingine toka nje.
Rasmi; Golikipa Moussa Camara kutoka Horoya ya Guinea ni mnyama
 
Back
Top Bottom