Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi lakini kulingana na mchakato wa umiliki unavyozidi kusogea mbele, utaratibu unakulazimu kuwa na bodi na watendaji wengine wenye mamlaka zinazoeleweka. Hapo ndipo ugumu wa kuwa na mtu mmoja anayefanya kazi zote za msingi huja. Bodi ikishakuwepo maana yake Ina mamlaka na Kila mtu atapaswa awe na majukumu yake muwe mmeyapanga nyote na kukubalianaViongozi wa Simba wengi pale ni madalali! Hawawezi kuchukua maamuzi yeyote ya kinidhamu! Hapo kuna viongozi wako nyuma ya kibu denis wanamuongoza ili wapate pesa kwenye hizo sarakasi zake!
Simba ili ipate mafanikio lazima bodi ya watu wajuaji iondoke na utumike mfumo kama wa yanga wa GSM kumuweka mfanyakazi wake ili aongoze! Ndio utakuwa mwarobaini wa matatizo.
Ni kweli, uwezekano wa Ayoub kusalia ni mdogoKuhusu Kipa wa timu ya Horoya Moussa Camara ambaye pia yupo kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Guinea kwenda Simba ni kweli?
Nakukubali mwamba huna mbambambaNi kweli, uwezekano wa Ayoub kusalia ni mdogo
AsanteNakukubali mwamba huna mbambamba
Tumtarajie Mpanzu tarehe 3 mkuu?Asante
Nimejibu kuhusu kufundishika.Asipopita ok, ila Akipita nafasi ya majaribio akasajiliwa wewe ndo utakuwa ni mwongo au wao ndo hawajui?
Ndiosababu anajaribiwa kama ngassa😀Ungewazuia wasimualike
Kutofundishika ni kigezo cha kutokufaulu.Nimejibu kuhusu kufundishika.
Mambo ya kufaulu na kutokufaulu sujui Mimi hata wewe na Kibu hajui.
60 Kwa 40 hadi sasaTumtarajie Mpanzu tarehe 3 mkuu?
Sio wanaangalia kipaji na Style yake anavocheza?Kutofundishika ni kigezo cha kutokufaulu.
Mpaka wamemwita tayari walishatazama style anavyocheza. Ndani ya mwezi kufundishana kupo boss, huwa wakienda ulaya kwa majaribio hata wakifeli huwa hawarudi bure, wanarudi na uzoefu fulani mpya waliojifunza huko.Sio wanaangalia kipaji na Style yake anavocheza?
Ndani ya mwezi mmoja atafundushwa nn ili wajue anafundishika au hafundishiki!!!
SawaMpaka wamemwita tayari walishatazama style anavyocheza. Ndani ya mwezi kufundishana kupo boss, huwa wakienda ulaya kwa majaribio hata wakifeli huwa hawarudi bure, wanarudi na uzoefu fulani mpya waliojifunza huko.
Rasmi; Golikipa Moussa Camara kutoka Horoya ya Guinea ni mnyamaTaarifa zilizopo ni juu ya kuumia Kwa Ayoub Lakred na atakaa nje si chini ya wiki nne. Hii inaweza kuwa fursa ya Manula kurejeshwa kikosini, kusajili mzawa au kumsajili kipa mwingine toka nje.
Mpanzu to Simba kuna ugumu sana
Onana ni kama pale Ismailia anapita tu? Naona hata jezi zake hazina namba.60 Kwa 40 hadi sasa
Atabaki kwa sababu Mpanzu ni ngumu kujaOnana ni kama pale Ismailia anapita tu? Naona hata jezi zake hazina namba.
Kosa lingine...Rasmi; Golikipa Moussa Camara kutoka Horoya ya Guinea ni mnyama
Nimeumia sana.Atabaki kwa sababu Mpanzu ni ngumu kuja