Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia mzinze to simba?
🤪Huyu ni nani?😀
Ni kweli kabisa,onana ni bishoo sana mlaini hawezi kung'ang'ania mpira kwa nguvu wakimgusa tu anatuliaTunahitaji Killer mmoja kule mbele asiye na mbwembwe, Onana mbwembwe Nyingi
Nani huyu?🤪
Kipa Mousa CamaraNani huyu?View attachment 3059205
Mijitu mingine sijui ipoje. Mtu anaona kabisa ajira iko mashakani kwa sababu ya ubishoo uwanjani lakini yupo vile vile. Au hajui kama watu hawamtaki?Ni kweli kabisa,onana ni bishoo sana mlaini hawezi kung'ang'ania mpira kwa nguvu wakimgusa tu anatulia
Kwa maelezo ya admin nafikiri ni Victorien.Kipa Mousa Camara
Sasa huyo ana tofauti gani na JobeKwa maelezo ya admin nafikiri ni Victorien.
Huenda naye ana mpango wa kusepa.Mijitu mingine sijui ipoje. Mtu anaona kabisa ajira iko mashakani kwa sababu ya ubishoo uwanjani lakini yupo vile vile. Au hajui kama watu hawamtaki?
Adebayo ana nafuuSasa huyo ana tofauti gani na Jobe
Kuna haja gani ya kuwa na mchezaji mwenye nafuu? Kama mmeshindwa mashine si bora kuacha tu kuliko kurundika wageni. Striker kali mf wa Kagere sio la kuja kufanyia trialAdebayo ana nafuu
Kama Adebayor basi mmeyakanyaga, huyo anaongoza kwa utumishi hewa. Matatizo ya kifamilia kila siku, Berkane kawasumbua na kule Africa Kusini alipoenda yakawa yale yale tu.Kwa maelezo ya admin nafikiri ni Victorien.
Nilikwambia ni kipa huyo.Kwa maelezo ya admin nafikiri ni Victorien.
Ni kweliNilikwambia ni kipa huyo.
Wakati Horoya wanapigika goli 7, huyu kipa alikuwepo?Nilikwambia ni kipa huyo.