Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Na hapo nasikia wanamlipa 2m kama salary daah, hawa jamaa sio poa kabsa!
Juzi wamemtuma yule mwandishi wao aje kuwadanganya ili meneja wake achukiwe na WATU!
Watu wamempa offfer ya 75m ila wao hawataki dogo aondoke ili waendelee kumpa 2m .
Biashara haina huruma dogo
Ujamaa umewaponza Watanganyika
Kwaiyo Yanga wamwache aende, unajua Yanga amegharimika kiasi Gani hadi unamwona Mzize hivi Leo
Yanga wamemsajilia Mzize wachezaji Bora, wanaomzunguka kumpa ushindani,
Yanga wamempa Mzize platform kubwa
Yanga wamempa Mzize madaktari, wataalam wa saikolojia, kambi, vifaa n.k
Unadhani hizi pesa zitarudije ukisema Yanga wamwache tu
 
Na hapo nasikia wanamlipa 2m kama salary daah, hawa jamaa sio poa kabsa!
Juzi wamemtuma yule mwandishi wao aje kuwadanganya ili meneja wake achukiwe na WATU!
Watu wamempa offfer ya 75m ila wao hawataki dogo aondoke ili waendelee kumpa 2m .
Siyo wamepandisha hadi 15m?
 
Alisaini mkataba Azam akiwa na mkataba Azam? Si Azam atashtaki? Unless useme Azam weshakubaliana na Fei kuwa hiyo B1 hailipwi we endelea una baraka zote.
Ndo uwe unawashangaa hao mbumbumbu wenzio wanauza uongo ambao wa vitu haiwezekani
 
Kwa u special gani alionao huyo Feisali hadi watu wampige? Kila timu itaziba mapungufu kulingana na namna anavyoona. Kuna wachezaji zaidi ya Feisal kwa Tanzania na Africa kwa ujumla.
Mtaje huyo kama Feisali kwa vilabu vya ndani
 
Ngara tunakujua jinsi ulivo shabiki wakutupwa wa uto, punguza hasira, mbona uto mnao wachezaji wengi wazuri kwanini hutaki kijana Fei aje simba?
Mkuu kwani hujui hao watu automatically na mashabiki Wana chuki na roho mbaya sana Mimi hua nawatukana tu...si unaona wanachomfayia mzinze ? Hadi wakala wake kaiomba serikali kupitia bmt na tff waingilie kati ..
 
Hawa watu hapana ase, na hapo dogo akiondoka wataanza kutuma mauchawi yao kama walivomfanyia mayele. Ni timu fulani inayoongozwa na watu wenye roho za uchawichawi
 
Kuna mashabiki wanapenda sana kulalamika na pia kutukana kama wendawazimu hivi! Sijui ni kwa sababu hawajaui kama mpira ni biashara/ni uwekezaji!

Kama hawajui wasome taarifa za usajili wa Uingereza ambapo Newcastle United imeigomea Liverpool usajili wa mshambuliaji wao tegemeo Alexander Isak ambapo Liverpool wamefikia kulipa Paundi milioni 110! Na bado Newcastle wanataka paundi milioni 150!

Ingekuwa ndiyo hawa mbumbumbu wetu wangeanza kutoa maneno yao ya shombo! Kumbe ndiyo mpira unavyotaka. Unapowekeza kwenye kitu chochote kile, matarajio yako ni kupata faida. Na siyo hasara au kufurahisha watu.
 
Kiufupi utopolo kwenye biashara ya wachezaji ni hovyo kabisa
 
Attachments

  • downloadfile.png
    1 MB · Views: 24
Hawa watu hapana ase, na hapo dogo akiondoka wataanza kutuma mauchawi yao kama walivomfanyia mayele. Ni timu fulani inayoongozwa na watu wenye roho za uchawichawi
Kile wanaxhokifanya gizani kwa wasemaji wao na wengine wachezaji akina kabwili na puppets wengine akina hans ndio unaona wanatuma picha za Simba wakiogelea Yan wanchowaza ndio.hiko hiko wanachofanya huko kikosini...ukiacha uchawi wa rohombaya wa kuwanyima wachezaji rizki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…