Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Asante mkuu
 
Quality yao haifanani na wale wawili, kama huyo Chamou, sijui kama atabaki beki hapo labda Hamza na Kapombe. Kujenga defense ni kazi kubwa sana.
 
Simba wameshatangaza sajili zao official?
Issue sio kutangaza issue je watadeliver? Mimi sajili sasa hivi na ziangalia hata za Yanga ndio maana sitakagi kuweka neno kwa wachezaji wapya, unaweza ukawapa matarajio makubwa ila ikawa tofauti mfano.Ila kwenye mpira wa miguu hamna sehemu sensitive kama defense.
 
Hichilema,,, micky jnr anasema Simba haijawahi kumhitaji Diaw left back wa al Hilal omdurman ya Sudan,, kwenye tetesi zako no19 unasema simba inamuhitaji Diaw,,,, walikulisha Matango pori??......But all in all your Doing a great job keep it up brother!!
 
Nimezungumzia defense, maana defense ndio inatoa inayokupa makombe, two key defense player umeuza Che na Shabala, beki uliobakia nao ni wawili tu,Kapombe na Hamza.
Hata hiyo def bado huwezi kusema imevunjwa kwa mabeki wawili kuondoka. Tena hapo kwangu mm ni beki mmoja kaondoka huyo che alikuwa ni kama keshapoteza namba kwa kiwango kupanda na kushuka.
 
Inaweza kwenda pande zote sababu hata waliofanya vizuri si waliingia kama ingizo jipya ndo wakafanya vizuri? Bado, huwezi sema def imevunjika. Bado boss.
 
Hata hiyo def bado huwezi kusema imevunjwa kwa mabeki wawili kuondoka. Tena hapo kwangu mm ni beki mmoja kaondoka huyo che alikuwa ni kama keshapoteza namba kwa kiwango kupanda na kushuka.
Okay sasa Che unamreplace na nani? Kwa wale walio kiwepo, huyo anayekuja haumjui.
 
Inaweza kwenda pande zote sababu hata waliofanya vizuri si waliingia kama ingizo jipya ndo wakafanya vizuri? Bado, huwezi sema def imevunjika. Bado boss.
Okay tupo humu JF tutakumbushana, ombea walio sajiliwa wawe vizuri, wakiwa hovyo ndio basi kwani mistake ya defense tofauti na washambuliaji.
 
Ishu sio kununuliwa ila unaonekana ni mtu unayependa kusikia mabaya ya Yanga na mazuri ya Simba pekee ndio maana unaona kuwa Micky ndio mtu sahihi kwako. Micky ni mwandishi ambaye ni shabiki wa Simba na kamwe huwezi kusikia akiongea jambo lolote baya kuhusu Simba na wala lolote zuri lolote linalohusu Yanga hata vile vipigo ambavyo Simba ananyukwa na Yanga huwa ni ngumu kuleta update kwa wakati ila Simba ikiwa imeshinda fasta tu anapost. Umemchagua Micky kwasababu ana post habari unazozipenda kuzisikia.
 
Simba haijatuma ofa rasmi ila inamuhitaji. Inaangalia Machaguo mengine pia. Mimi sisikilizagi redio za Tanzania wala kufollow the so called wachambuzi wa kibongo. Thank you for your appreciation brother !
 
Okay sasa Che unamreplace na nani? Kwa wale walio kiwepo, huyo anayekuja haumjui.
Alipokuwa anapata injuries timu haikucheza? Kuhusu kutokujulikana kwa ajaye usisahau hata che alikuja na hakujulikana kabla na sasa unamjua, so huwezi assume worse kwasababu hujamuona, huyo atakayekuja atakuja, asipoperform atabadilishwa, Thats football boss.
 
Okay tupo humu JF tutakumbushana, ombea walio sajiliwa wawe vizuri, wakiwa hovyo ndio basi kwani mistake ya defense tofauti na washambuliaji.
Mkuu, hapa hakuna cha kukumbushana maana vizuri haisababishwi na uwepo wa Che pekee, angeweza kubaki na defence ikafanya vibaya vile vile. Kwani tulipokuwa tunakosa ubingwa wa ligi Che hakuwepo?
 
Sawa tupo hapa tutakumbushana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…