Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Mnajazwa upepo, baadaye mnaambiwa tena Fei Toto amebakia Azam.

Hivi katika hali tu ya kawaida inawezekana kocha kama Ibenge akubali kuifundisha Azam, halafu wakati huo huo akubali mchezaji tegemeo wa timu kama Fei Toto auzwe timu pinzani!

Labda kama siyo Ibenge ninayemfahamu! Kocha anayependa ushindani, na anayependa kuwa na wachezaji mahiri kwenye timu yake.
 
B 1 ni ya Azam siyo Yanga
Ila umaskin mbaya sana mkuu...hivi mtu kweli anafurahia kua Simba itaumia kutoa mere/small 1 billion ? Acha nicheke tu...japo najua hela haiendi kwao mana zile zilikua propaganda zao walianzisha kwa ajili ya kuwapa mabichwa mashabiki wao...eti akiuzwa ndani ya Tanzania tunataka bilioni 2 ..mkataba gan wa kiwaki kama wa sultani mangungo wa msovero
 
B 1 ni ya Azam siyo Yanga
Hiyo bilioni 1 anatoa Mangungu au Mwekezaji!! Comrade acheni kueapumbaza mashabiki kupitia hizi tetesi zenu. Na vipi kuhusu kocha mpya wa Azam! Unategemea atakubali kirahisi tu mchezaji tegemeo kwenye timu kuuzwa kwa timu pinzani kwenye ligi hiyo hiyo?

Au unafikiri Ibenge ni kocha wa mchongo na asiyependa kushindana mwenye ligi kwa ajili ya makombe?
 
🚨 Klabu ya JS Kabylie imetuma ofa rasmi ya USD 600,000 (Tshs Bilioni 1.5) ili kupata saini ya Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Jean Charles Ahoua kuelekea msimu ujao

Simba SC wanaipitia ofa hiyo na ikiwalidhisha watamuuza kiungo Jean Charles Ahoua ambaye amekuwa na msimu bora sana.
 
Siko hapa kukufurahisha wala kukuudhi, siokotelezi
 
Sahihi
 
Pole.

Unaandika kwa uchungu sana.
Muda wa wanasimba kuongea bado japo unakaribia
Uzuri mtatoka huko mapangoni na akina Khadim Diaw mnaowaficha tuwapige tena
Yani wanasimba wakisifia wachezaji oo hata msimu uliopita miliwasifia ila mkakosa ubingwa, wakikaa kimya oo hata kwenye derby mlikaa kimya ila mkafungwa na mkakosa ubingwa, hivi uto mnajua hata mnachokikosoa kweli au mnakosoa tu kama manyumbu
Nyinyi kwa Yanga mtaendelea tu kuwa wayeja wao. Maana hakuna namna nyingine. Hata mumsajili Lamine Yamal, mtakalishwa tu chini.
Nimegundua upumbavu wa mashabiki wa yanga kwa sasa unafichwa na timu kuchukua ubingwa wa mchongo, siku mambo yakienda kinyume ndio watu wataona jinsi gani hiyo timu ina mashabiki wajinga, yani leo hii ukiongelea madhaifu ya yanga jibu pekee walilonalo mashabiki wao ni tunachukua ubingwa wala hawajibu hoja ila ni suala la muda tu
 
Teeh teeh.

Naona mmevurugwa sana makolo.

Hamjui mshike lipi muache lipi.

Sawa sisi tunasubiri ligi zianze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…