Teua-Tengua, nyingine itakuja tu ndani ya miezi miwili ijayo!

Teua-Tengua, nyingine itakuja tu ndani ya miezi miwili ijayo!

Kwani kiranja mkuu kisha kuonyesha nia ya kuwania urais?
Kwanza tujue wale wote wanaoiota nafasi ya Urais kwa sasa.
1. Mama Samia
2. Majaliwa
3. Mwigulu
4. Makamba(Februari)
5. .........
6. ........

Toka namba mbili kuendelea, wafuasi na ndugu zao walioko serikalini/chamani watakumbwa na Teua-Tengua kwa miaka hii miwili.
 
Eti anasema makonda amefanya kazi nzuri, amekichemsha chama
Ko wanamtoa ili iweje? Kizime tena

Huu ni unafki na udhalilishaji wa waziwazi, kwamba mnamtumia mtu kwa faida binafsi na kumuhamisha bila sababu za msingi
Kuna Mwanajamiimii mwenzetu humu ndani alisema waswahili ni wanafiki,wanachoongea siyo wanachomainisha tofauti na wa bara
 
Kati Ya Samia na Wiliam Ruto nani katangulia kushika madaraka ya urais?
Je Ruto bado naye anatengua tengua km mama wa Mipasho?
Ruto ni smart na yuko focused halafu pia kenya na Tz ni nchi tofauti kabisa.kenya hakuna longo longo si unaona madaktari walivyokaza?Na sasa wameungana na macrinicians kuweka misimamo zaidi.sisi wabongo ni sawa na nyumbu tu tunakimbia kimbia bila kujua tunaelekea wapi.
 
Ni masikitiko makubwa, au watu wa kada ya Pwani wasiwe wanapewa kampuni au ni udhaifu wa mother tu?
 
Back
Top Bottom