Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..mwafrika,
..ile haikuwa kamati[in the real sense]but kundi fulani la wahuni!au waliotiwa uhuni!
..hii nyingine tusubiri tuone!na hamu sana ya kuona kitakachojiri! watu wanatabirika!
Tunaelekea kuwa Taifa la walalamikaji au namna gani?
Wabongo! mie kisha choka kabisa, sijui Rais afanye nini?, akifanya hili zuri basi linachochocholewa la mafisadi, Jamani kila kitu kinafanywa kwa muda wake!
Msishangilie kuwekwa kwa Zitto humo. Kama mnakumbuka JK alivyosema, tatizo sio mikataba ya madini, tatizo ni sheria zetu tulizojiwekea, HIZI SHERIA ZIMEPITWA NA WAKATI.
Kama kamati inapitia na kurekebisha sheria sawa, lakini msitegemee kamati zirekebishe mikataba!!!!!! Mama Kejo amekuwa akizunguka duniani kuangalia best practices, baada ya kumaliza sasa naamini atakuwa na inputs za maana kwenye kamati.
Kwahiyo wandugu msishangae Zitto wenu akiingia ndani na kutoka na kuwapa taarifa kuwa jamani mikataba ipo safi! Najua mtaanza kumrushia madongo kuwa kanunuliwa!! Mark my words mtasema tu nyie waafrika!
Mtasema kwasababu HAKUNA MIKATABA MIBOVU, ila SHERIA ZILIZOPO ZINAZOHUSIANA NA KODI NA MAPATO YA MADINI NDIO MBOVU.
Mwenye kuelewa aelewe mwenye kupinga tuuuuuuuuuuu aendelee.
nashangaa kwa nini hii mada inafika hadi huku ilipofika ! zitto keshawekwa kwenye kamati, sasa nyie hamtaki, na akijiondoa zitto mwenyewe yaani ni sawa sawa na kujimaliza mwenyewe !
sasa kama mnataka kuongea kuburudisha barza, endeleeni wakuu !
hamna mistek dan !
Huyu kijana ameonekana kupiga domo sana,baada ya uchunguzi wa kina ameonekana ana njaa,sasa amemegewa pande ili nae amungunye,mtaona sasa hatoki tena denda wala hatakuwa na uwezo wa kupiga makelele,tuna mbinu na mikakati ya kuwanyamazisha vijana wadogo wadogo.Ndio hivyo sasa ameingizwa kwenye ufisadi ule aliokuwa akiupigia makelele,jamani si mnayajua mambo ya kuunda unda tume,hivi tume ngapi zimeundwa kuhusiana na mambo mazito nitajieni moja tu iliyokuja na jawabu halafu likafanyiwa kazi....miezi mitatu !!!Mmesikia wapi anaeshitaki akahusishwa kwenye uchunguzi na washitakiwe wake.
FD you nail it...TATIZO SIO MIKATABA TATIZO NI SHERIA ZILIZOPO na hakuna hata mkataba mmoja uliokuwa signed utabadilishwa labda investors waombwe kwa ubindamu na wakubali tuu lakini kisheria hatuna uwezo,tuombe mungu sheria za sasa hivi zibadilike ili tusiendelee kulizwa tena.
Kwani wewe nani kakuambia watua hapa walikua wanataka Zitto awepo kwenye hiyo kamati?Maanake hapa unauliza kama vile Zitto akishakua kwenye kamati basi watu watakaa kimya.
It's a pity unasema SIjui kwanini hii mada imefikia huku.Wewe huwezi kuleta hoja hata siku moja na badala yake unapenda kuchafua mada tu.Waache watu watoe maoni yao,au wewe ulitaka hii mada iishie wapi?
Ben mwambie huyo maana naona angekuwa Prezidaa ingekuwa membaz wote wa JF wako ndani right now. Maamuzi ya kimakamba makamba tu na anataka watu waache kujadili issue kwa vile Zitto yumo kwenye kamati as if Zitto ndiye mwanzo na mwisho wa JF.
JF hapendwi mtu, Wana-CHADEMA waliojitambulisha hapa na wanaotumia majina yao kama Mnyika na Kitila wanajua hili na watu wanatofautiana nao every other day. Zitto mwenyewe huwa anapata dozi yake hapa akienda kinyume.
Sasa haya mambo kuwa kwa vile zitto kawekwa kwenye kamati ambayo haitabadilisha chochote katika mikataba iliyopo ndio kifanye watu wanyamaze sijui yanatoka russia au china! mweeeee
Koba, katika nchi ambayo ni sovereign mikataba yote INAWEZA kupanguliwa kwani haikushushwa na Malaika tukaambiwa "pokea"!
Kwani wewe nani kakuambia watua hapa walikua wanataka Zitto awepo kwenye hiyo kamati?Maanake hapa unauliza kama vile Zitto akishakua kwenye kamati basi watu watakaa kimya.
It's a pity unasema SIjui kwanini hii mada imefikia huku.Wewe huwezi kuleta hoja hata siku moja na badala yake unapenda kuchafua mada tu.Waache watu watoe maoni yao,au wewe ulitaka hii mada iishie wapi?
Ben mwambie huyo maana naona angekuwa Prezidaa ingekuwa membaz wote wa JF wako ndani right now. Maamuzi ya kimakamba makamba tu na anataka watu waache kujadili issue kwa vile Zitto yumo kwenye kamati as if Zitto ndiye mwanzo na mwisho wa JF.
JF hapendwi mtu, Wana-CHADEMA waliojitambulisha hapa na wanaotumia majina yao kama Mnyika na Kitila wanajua hili na watu wanatofautiana nao every other day. Zitto mwenyewe huwa anapata dozi yake hapa akienda kinyume.
Sasa haya mambo kuwa kwa vile zitto kawekwa kwenye kamati ambayo haitabadilisha chochote katika mikataba iliyopo ndio kifanye watu wanyamaze sijui yanatoka russia au china! mweeeee
Mwafrika,
Huyu mtu ni kituko sana hapa Jf,hataki kuona watu wanatoa maoni ingawa watu wamemvumilia sana na kumpa uhuru wa kumwaga upupu wake hapa siku zote hadi kwa sababau tu walijali uhuru wa kutoa mawazo.
Tangu ajifunze kutype amekua akiwashwa sana,kila thread anayochangia ni upuuzi tu lakini hatukujali kwani pia tulitambua uwepo wa watu walio na nerves zenye kasoro.
Tumkome nyani sasa! Tukate ishus mpaka kieleweke!

...TRUE lakini lazima ubadilishe sheria kwanza au makubaliano mapya na pande nyingine,labda kama unaongelea mabavu ambako tunapigia kelele hapa