Teuzi na Tenguzi za Viongozi Mabalimbali Zilizofanywa na Rais Wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (2005-2015)

Huyo JK alikuwa wapi mda wote? anazinduka wakati wenzie wameshashiba! pia anajikosha kwa wapinzani wamuone kama anasikiliza vilio vya walala hoi?
ANATUYEYUSHA TU NA KUUZA SURA KWAKE!
 
..mwafrika,

..ile haikuwa kamati[in the real sense]but kundi fulani la wahuni!au waliotiwa uhuni!

..hii nyingine tusubiri tuone!na hamu sana ya kuona kitakachojiri! watu wanatabirika!

DAR si LAMU,

Yaani hapa maswali ni zaidi ya majibu, Kwa hiyo Kikwete anataka kusema kuwa ile kamati/tume/whateverthename.co.ulaji ilitumia pesa za kodi bure tu!

Na hii ya sasa ya Mwakyembe, Bomani na mama sijui nani huyu aliyeleta IPTL ndio maliza kazi kabisaaaa.

Usanii bongo, unaanzia kwa prezidaa mwenyewe!
 
Tunaelekea kuwa Taifa la walalamikaji au namna gani?

Sentensi hii iliyonukuliwa nayo ni ya ulalamishi, au sio?

Kulalamika ni sehemu ya ubinadam kila mahali duniani, na hasa ikiwa ni kwenye maswala ya kisiasa.

Tusianze kuwalaumu watu kama wanatoa dukuduku zao kuhusu mambo wanayoona hawakubaliani nayo, eti kwa kuogopa wasionekane kuwa ni walalamishi. Ni kuwanyima haki yao ya msingi.

Kupunguza ulalamishi unaofanywa na wananchi, ni kuwaelimisha waelewe vizuri kinachoendelea na waridhike na usahihi wa hayo yanayoelezwa. Kama hawaridhiki na maelezo hayo, bado wanayohaki ya kuendelea kulalamika.

Kwa hiyo, kwa ulalamishi unaoonekana hapa JF kuhusu hiyo kamati iliyoundwa, njia nzuri ya kupunguza ulalamishi ni kuelezea ni jinsi gani hiyo kamati itakavyoweza kuchanganua matatizo mengi yanayoambatana na mikataba ya madini. Kama baadhi ya wajumbe walioteuliwa katika kamati hiyo wanaonekana dhahiri, kutokana na sifa zao za kiutendaji kuwa hawana sifa za kufanya kazi hiyo, ni kwa nini watu wasiwe na wasiwasi na nia ya kuundwa kwa kamati hiyo? Hawa wananchi wakiuliza, ni kwa nini wapewe 'label' ya kuitwa walalamikaji?

MKJJ kanunuliwa? Kapewa peremende? That is some new! Ngoja tusubiri tuone kama ni kweli.
 
Wabongo! mie kisha choka kabisa, sijui Rais afanye nini?, akifanya hili zuri basi linachochocholewa la mafisadi, Jamani kila kitu kinafanywa kwa muda wake!

Msishangilie kuwekwa kwa Zitto humo. Kama mnakumbuka JK alivyosema, tatizo sio mikataba ya madini, tatizo ni sheria zetu tulizojiwekea, HIZI SHERIA ZIMEPITWA NA WAKATI.

Kama kamati inapitia na kurekebisha sheria sawa, lakini msitegemee kamati zirekebishe mikataba!!!!!! Mama Kejo amekuwa akizunguka duniani kuangalia best practices, baada ya kumaliza sasa naamini atakuwa na inputs za maana kwenye kamati.

Kwahiyo wandugu msishangae Zitto wenu akiingia ndani na kutoka na kuwapa taarifa kuwa jamani mikataba ipo safi! Najua mtaanza kumrushia madongo kuwa kanunuliwa!! Mark my words mtasema tu nyie waafrika!

Mtasema kwasababu HAKUNA MIKATABA MIBOVU, ila SHERIA ZILIZOPO ZINAZOHUSIANA NA KODI NA MAPATO YA MADINI NDIO MBOVU.

Mwenye kuelewa aelewe mwenye kupinga tuuuuuuuuuuu aendelee.

FD right on.. ndio maana binafsi nisingependa Zitto awe kwenye Kamati hiyo kwa sababu tayari anagongana kimaslahi na suala zima. Angekuwa ni mmoja wa watu watakaotoa maoni. Vinginevyo wangemuweka na Karamagi humo humo...
 
nashangaa kwa nini hii mada inafika hadi huku ilipofika ! zitto keshawekwa kwenye kamati, sasa nyie hamtaki, na akijiondoa zitto mwenyewe yaani ni sawa sawa na kujimaliza mwenyewe !

sasa kama mnataka kuongea kuburudisha barza, endeleeni wakuu !

hamna mistek dan !
 
Ngoja tuweke Kiswahili sawasawa.. Rais kaunda "Kamati" au "Tume"? Kamati hutokana na kikao au mkutano, sasa ni kikao gani au mkutano gani wa Rais uliounda Kamati? Mimi ninaamini Rais kaunda Tume (committee and commission are not one and the same thing). Ila Bunge limeunda Kamati halijaunda Tume... Bunge lina uwezo wa kuunda kile kinechoitwa "Kamati Teule"..
 
Huyu kijana ameonekana kupiga domo sana,baada ya uchunguzi wa kina ameonekana ana njaa,sasa amemegewa pande ili nae amungunye,mtaona sasa hatoki tena denda wala hatakuwa na uwezo wa kupiga makelele,tuna mbinu na mikakati ya kuwanyamazisha vijana wadogo wadogo.Ndio hivyo sasa ameingizwa kwenye ufisadi ule aliokuwa akiupigia makelele,jamani si mnayajua mambo ya kuunda unda tume,hivi tume ngapi zimeundwa kuhusiana na mambo mazito nitajieni moja tu iliyokuja na jawabu halafu likafanyiwa kazi....miezi mitatu !!!Mmesikia wapi anaeshitaki akahusishwa kwenye uchunguzi na washitakiwe wake.
 
FD you nail it...TATIZO SIO MIKATABA TATIZO NI SHERIA ZILIZOPO na hakuna hata mkataba mmoja uliokuwa signed utabadilishwa labda investors waombwe kwa ubindamu na wakubali tuu lakini kisheria hatuna uwezo,tuombe mungu sheria za sasa hivi zibadilike ili tusiendelee kulizwa tena.
 
nashangaa kwa nini hii mada inafika hadi huku ilipofika ! zitto keshawekwa kwenye kamati, sasa nyie hamtaki, na akijiondoa zitto mwenyewe yaani ni sawa sawa na kujimaliza mwenyewe !

sasa kama mnataka kuongea kuburudisha barza, endeleeni wakuu !

hamna mistek dan !

Kwani wewe nani kakuambia watua hapa walikua wanataka Zitto awepo kwenye hiyo kamati?Maanake hapa unauliza kama vile Zitto akishakua kwenye kamati basi watu watakaa kimya.

It's a pity unasema SIjui kwanini hii mada imefikia huku.Wewe huwezi kuleta hoja hata siku moja na badala yake unapenda kuchafua mada tu.Waache watu watoe maoni yao,au wewe ulitaka hii mada iishie wapi?
 
Huyu kijana ameonekana kupiga domo sana,baada ya uchunguzi wa kina ameonekana ana njaa,sasa amemegewa pande ili nae amungunye,mtaona sasa hatoki tena denda wala hatakuwa na uwezo wa kupiga makelele,tuna mbinu na mikakati ya kuwanyamazisha vijana wadogo wadogo.Ndio hivyo sasa ameingizwa kwenye ufisadi ule aliokuwa akiupigia makelele,jamani si mnayajua mambo ya kuunda unda tume,hivi tume ngapi zimeundwa kuhusiana na mambo mazito nitajieni moja tu iliyokuja na jawabu halafu likafanyiwa kazi....miezi mitatu !!!Mmesikia wapi anaeshitaki akahusishwa kwenye uchunguzi na washitakiwe wake.

baab kubwa ! napenda avatar yako !
 
FD you nail it...TATIZO SIO MIKATABA TATIZO NI SHERIA ZILIZOPO na hakuna hata mkataba mmoja uliokuwa signed utabadilishwa labda investors waombwe kwa ubindamu na wakubali tuu lakini kisheria hatuna uwezo,tuombe mungu sheria za sasa hivi zibadilike ili tusiendelee kulizwa tena.

Koba, katika nchi ambayo ni sovereign mikataba yote INAWEZA kupanguliwa kwani haikushushwa na Malaika tukaambiwa "pokea"!
 
Kwani wewe nani kakuambia watua hapa walikua wanataka Zitto awepo kwenye hiyo kamati?Maanake hapa unauliza kama vile Zitto akishakua kwenye kamati basi watu watakaa kimya.

It's a pity unasema SIjui kwanini hii mada imefikia huku.Wewe huwezi kuleta hoja hata siku moja na badala yake unapenda kuchafua mada tu.Waache watu watoe maoni yao,au wewe ulitaka hii mada iishie wapi?

Ben mwambie huyo maana naona angekuwa Prezidaa ingekuwa membaz wote wa JF wako ndani right now. Maamuzi ya kimakamba makamba tu na anataka watu waache kujadili issue kwa vile Zitto yumo kwenye kamati as if Zitto ndiye mwanzo na mwisho wa JF.

JF hapendwi mtu, Wana-CHADEMA waliojitambulisha hapa na wanaotumia majina yao kama Mnyika na Kitila wanajua hili na watu wanatofautiana nao every other day. Zitto mwenyewe huwa anapata dozi yake hapa akienda kinyume.

Sasa haya mambo kuwa kwa vile zitto kawekwa kwenye kamati ambayo haitabadilisha chochote katika mikataba iliyopo ndio kifanye watu wanyamaze sijui yanatoka russia au china! mweeeee
 
Unajua Still Tundu Lisu anaweza aktumia uzoefu wake Kumshauri Zitto kwenye hilo suala hata kama Lisu mwenyewe hayupo nadhani itaku ni poa zaidi kwa hao wawili kupeana nondo nzito nzito kuondoa huu ukungu kwenye madini.

Pia nakumbuka Zitto alishawahi kutamka kuwa Prof.Shivji alikua Mwalimu wake wa nje kisiasa sasa hapo bado Zitto anaweza kupata nondo kutoka kwa professa.

Kwa hiyo kama hali itaweza kuwa hivyo nadhani mchango wao ambao wangetoa kama wangekua kwenye tume hiyo utakuwepo bado.Hakuna Zitto kujitoa kwa hili labda Cheyo ajitoe
 
Ben mwambie huyo maana naona angekuwa Prezidaa ingekuwa membaz wote wa JF wako ndani right now. Maamuzi ya kimakamba makamba tu na anataka watu waache kujadili issue kwa vile Zitto yumo kwenye kamati as if Zitto ndiye mwanzo na mwisho wa JF.

JF hapendwi mtu, Wana-CHADEMA waliojitambulisha hapa na wanaotumia majina yao kama Mnyika na Kitila wanajua hili na watu wanatofautiana nao every other day. Zitto mwenyewe huwa anapata dozi yake hapa akienda kinyume.

Sasa haya mambo kuwa kwa vile zitto kawekwa kwenye kamati ambayo haitabadilisha chochote katika mikataba iliyopo ndio kifanye watu wanyamaze sijui yanatoka russia au china! mweeeee

Mwafrika,

Huyu mtu ni kituko sana hapa Jf,hataki kuona watu wanatoa maoni ingawa watu wamemvumilia sana na kumpa uhuru wa kumwaga upupu wake hapa siku zote hadi kwa sababau tu walijali uhuru wa kutoa mawazo.

Tangu ajifunze kutype amekua akiwashwa sana,kila thread anayochangia ni upuuzi tu lakini hatukujali kwani pia tulitambua uwepo wa watu walio na nerves zenye kasoro.

Tumkome nyani sasa! Tukate ishus mpaka kieleweke!
 
Koba, katika nchi ambayo ni sovereign mikataba yote INAWEZA kupanguliwa kwani haikushushwa na Malaika tukaambiwa "pokea"!

...TRUE lakini lazima ubadilishe sheria kwanza au makubaliano mapya na pande nyingine,labda kama unaongelea mabavu ambako tunapigia kelele hapa
 
Kwani wewe nani kakuambia watua hapa walikua wanataka Zitto awepo kwenye hiyo kamati?Maanake hapa unauliza kama vile Zitto akishakua kwenye kamati basi watu watakaa kimya.

It's a pity unasema SIjui kwanini hii mada imefikia huku.Wewe huwezi kuleta hoja hata siku moja na badala yake unapenda kuchafua mada tu.Waache watu watoe maoni yao,au wewe ulitaka hii mada iishie wapi?

RECYCLE BIN !!
 
Ben mwambie huyo maana naona angekuwa Prezidaa ingekuwa membaz wote wa JF wako ndani right now. Maamuzi ya kimakamba makamba tu na anataka watu waache kujadili issue kwa vile Zitto yumo kwenye kamati as if Zitto ndiye mwanzo na mwisho wa JF.

JF hapendwi mtu, Wana-CHADEMA waliojitambulisha hapa na wanaotumia majina yao kama Mnyika na Kitila wanajua hili na watu wanatofautiana nao every other day. Zitto mwenyewe huwa anapata dozi yake hapa akienda kinyume.

Sasa haya mambo kuwa kwa vile zitto kawekwa kwenye kamati ambayo haitabadilisha chochote katika mikataba iliyopo ndio kifanye watu wanyamaze sijui yanatoka russia au china! mweeeee

unampenda kada wewe !!
 
Mwafrika,

Huyu mtu ni kituko sana hapa Jf,hataki kuona watu wanatoa maoni ingawa watu wamemvumilia sana na kumpa uhuru wa kumwaga upupu wake hapa siku zote hadi kwa sababau tu walijali uhuru wa kutoa mawazo.

Tangu ajifunze kutype amekua akiwashwa sana,kila thread anayochangia ni upuuzi tu lakini hatukujali kwani pia tulitambua uwepo wa watu walio na nerves zenye kasoro.

Tumkome nyani sasa! Tukate ishus mpaka kieleweke!

napenda maneno matamu kama yako !
IDD Amin to NYERERE
*Angekuwa mwanamke ningefikiria kumuoa*
NYERERE'S RESPONSE
*Idd Amin Dada*

!Tukateni ishuz sasa !
 
Mwafrika,

Huyu mtu ni kituko sana hapa Jf,hataki kuona watu wanatoa maoni ingawa watu wamemvumilia sana na kumpa uhuru wa kumwaga upupu wake hapa siku zote hadi kwa sababau tu walijali uhuru wa kutoa mawazo.

Tangu ajifunze kutype amekua akiwashwa sana,kila thread anayochangia ni upuuzi tu lakini hatukujali kwani pia tulitambua uwepo wa watu walio na nerves zenye kasoro.

Tumkome nyani sasa! Tukate ishus mpaka kieleweke!

kijana,
mimi sina mshipa wa aibu, sasa wee endelea ! mie natoka !
 
...TRUE lakini lazima ubadilishe sheria kwanza au makubaliano mapya na pande nyingine,labda kama unaongelea mabavu ambako tunapigia kelele hapa

miye si mtu wa matumizi ya mabavu.... nilichosema ni kuwa hata mikataba hubadilishwa...
 
Back
Top Bottom