Hivi bia yetu yupo kweli huyu mbumbumbu wa praise and worship??[emoji2][emoji2][emoji2]Kawe Alumni na Bia Yetu walishatokomea kusikojulikana.
Sijui yule member kasema hajateuliwa nikasema amejeaje?YEHODAYA anaweza kuwa nani kati ya walioteuliwa?
Hahahaha heri ukose chochote sio akili aiseejohnthebaptist naye ametokemea na mzee wake Mgaya. Tusubiri id mpya za timu mama sasa
We pimbi mimi sio hilo kundi.
Wewe upo kundi gani mkuu Wangu?[emoji23][emoji23][emoji23]We pimbi mimi sio hilo kundi.
Katiba mpya muhimuTukiwaambia tutafute Katiba mnatuona tuna shida sana sisi.
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Huyu wamemuweka hapo ili ajichanganyeNaona Ubungo wamepelekewa Ole Sabaya wao aliyechangamka. Watamkoma!!
Hatari snWateule wa udc wengi ni wakazi au wameishi mkoa wa Dar, na kuonekana kwenye TV, sisi wa mikoani tunatawaliwa. Iweje mtu amekulia jijini Dasilamu au Kaliua kuwa DC. Hawa ndio wanatoa amri makazi ya watu yachomwe usiku na kuua watoto.
Wanaigiza kuhamia DodomaRais anaishi Dar seeikali ipo Dodoma
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we jamaa umenena vyema Sana tena Sana inabidi twende zetu dasilamu tuonekane Mana huku mikoani hakuna jipyaaa aiseeWateule wa udc wengi ni wakazi au wameishi mkoa wa Dar, na kuonekana kwenye TV, sisi wa mikoani tunatawaliwa. Iweje mtu amekulia jijini Dasilamu au Kaliua kuwa DC. Hawa ndio wanatoa amri makazi ya watu yachomwe usiku na kuua watoto.