TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

Yaani hakuna kiongozi yenu yeyote anaewakabali hivi hamuwezi kujishitukia kuwa Marais wote wanawaona kama ninyi ni majuha?? Iweje teuzi karibia zote wapewe watu ambao sio wafia chama?! Jitafakarini punguzeni umbumbumbu
 
Mnatia kinyaa sana
Screenshot_20210620-090142.jpg
 
Kawagonga mule mule haya majamaa ni mambumbumbu Sana kazi yao kushangilia hata Kama ni ujinga now yanashangilia et wale waliohama chadema tukawananga leo wamepata teuzi yanageuka Tena kwetu kutunanga et tuliowasema wamepata teuzi wakati sisi tunajua kua Lijualikali yupo huko kusaka tonge tu Ila damuni mwake bado ni chadema tu sababu ndio waliomtoa mbaka Leo amefika hapo ila kaja huko mataga kusaka fursa tu
😂😂😂😂😂
 
Ila inauma nyie..mtu kama
YEHODAYA alikua front line vby mno kwenye kutoa info kwa msiba wa mwendazake..alafu ni msomi mzuri tu ..wanakuja chaguliwa wakina mchopanga sijui ! Khaa...
Mtu kama mkuu wa mkoa wa Mor hata sio mfia dini yule ni opportunist..lakini wameachwa wafia dini kibao!MKOME..ccm ina wenyewe...hebu imagine Mashinji kwa ufia chama upi?kina Nasari kwa mapenzi yapi na ccm!🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
 
Wamepigwa ile kitu tunaita Daflau ya kidevu, ujue hata ccm kwenyewe hua wanawaona vijana wao hawana akili ndio maana hua wanaamua kuyaacha tu
 
Ila inauma nyie..mtu kama
YEHODAYA alikua front line vby mno kwenye kutoa info kwa msiba wa mwendazake..alafu ni msomi mzuri tu ..wanakuja chaguliwa wakina mchopanga sijui ! Khaa...
Mtu kama mkuu wa mkoa wa Mor hata sio mfia dini yule ni opportunist..lakini wameachwa wafia dini kibao!MKOME..ccm ina wenyewe...hebu imagine Mashinji kwa ufia chama upi?kina Nasari kwa mapenzi yapi na ccm!🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
ndio hapo Sasa yaani mtu alianzia CHADEMA hatimae kwenda CCM au kinyume chake huyo mtu ni msaka fursa tu kwani mamvi alikuja chadema 2015 kwa kua anaipenda chadema?
Hio tunaita kusaka fursa tu na mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kusahau home kivyovyote!
😂😂😂😂
 
Safi sana Mama uteuzi huu nimeukubali sana na umeamua kuwaamini vijana safi sana..
Vijana wana changamoto sana kwenye uongozi wana paswa kulelewa kukuzwa na kufunzwa wanapo kosea.
Lakini ningependa kuwe namuendelezo kewa wakuu wa wilaya wanofanya vyema at least wangekuwa wanadumu sehemu hata kwa miaka mitano mfano kisarawe na temeke....lakini yote ni nia njema.
hongera sana Nick wa pilli una kazi kubewa sana..
Chopa wa mchopanga hongera sana .....nakukubali uko smart..

MaMA SAMIA UMENIKOSHA NA KAZI IENDELEE
 
Hapana mm nafikiri angemsogeza wilaya zingine ambazo zinachanga moto hasa hasa za kielimu kwa mabinti mfano Masasi, Nachingwea au hata Kibaha vijijin (W) ili alijaribu kuambukiza mabadiliko aliyo yafanya Kisarawe
Hivi mbona hateui huko Zanzibar, si mwungano? Vipi hagusi Zanzibar? Aitwe Rais wa Tanzania Bara.
 
Back
Top Bottom