TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

Una maana ileee safari ya kwa M7 na kwa Mr Freedom juzi, nyumba ya Jamaa wa Msoga na Benzi ya Mzee Ruksa vimekomba ^killer-key-2^ pale hazinani. Kumbe ndiyo maana waliharakisha sanaaa kumpandisha cheo Dkt Mpango ili atoke kule wafanye yao!??? Hii ni hatari na robo ^tar-two^¡¡¡ Nahisi kufikia mwisho wa mwaka Bi Mkubwa lazima atatembeza bakuli la michango huku mtaani, kama ndio mwendo huu.
Okey
 
Huyu alipaswa kufukuzwa na kushitakiwa

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Kuteua na kutumbua nadhani 'mungu' wako bado anaongoza, usiseme kabisa hii ndio kazi mama anayoweza! Sasa ulitakaje, muda wa majaji umeisha akae tu asiteue majaji?

Acha chuki dogo

Mwambie Bi Mkubwa akakague mradi wa treni umefikia asilimia 70, asimwachie tuuuu Dkt Kadogosa. Aende pia Rufiji akakague mradi wa umeme. Bi Mkubwa achana na mambo ya makaratasi. JK alishindwa hivyo kwa nadharia za mezani. JPM ulisema ni mwalimu wako --- yaani ulichojifunza kwake ni kukalia hiko kiti tuuu labda na hiyo red peni!??? Nenda hata kuleeeee Imbigilasole ukakague ule mradi mlioahidi na bosi wako kwenye kampeni last year, sawa!???
 
... hata DPP aliyepita (Eliezer Feleshi) aliboronga sana to our surprise akapewa ujaji enzi za Kikwete nadhani.

Ndiyo dawa pekee kwa DPP ukiwa Rais ni kumpandisha cheo na ujumbe utakuwa umemfikia DPP ajipime na kujisahihisha ktk cheo chake kipya cha juu.
 
Mwambie Bi Mkubwa akakague mradi wa treni umefikia asilimia 70, asimwachie tuuuu Dkt Kadogosa. Aende pia Rufiji akakague mradi wa umeme. Bi Mkubwa achana na mambo ya makaratasi. JK alishindwa hivyo kwa nadharia za mezani. JPM ulisema ni mwalimu wako --- yaani ulichojifunza kwake ni kukalia hiko kiti tuuu labda na hiyo red peni!??? Nenda hata kuleeeee Imbigilasole ukakague ule mradi mlioahidi na bosi wako kwenye kampeni last year, sawa!???
Jamani Rais afanye mangapi, kama watu wa kusimamia shughuli hizo wapo na wanalipwa, basi si waachie ngazi , manake wapo wengi wenye uwezo wamejazana mtaani kumsaidia kazi kwa ufanisi zaidi...kazi iendelee.
 
Mwambie Bi Mkubwa akakague mradi wa treni umefikia asilimia 70, asimwachie tuuuu Dkt Kadogosa. Aende pia Rufiji akakague mradi wa umeme. Bi Mkubwa achana na mambo ya makaratasi. JK alishindwa hivyo kwa nadharia za mezani. JPM ulisema ni mwalimu wako --- yaani ulichojifunza kwake ni kukalia hiko kiti tuuu labda na hiyo red peni!??? Nenda hata kuleeeee Imbigilasole ukakague ule mradi mlioahidi na bosi wako kwenye kampeni last year, sawa!???
Mambo mengine ni kujichosha tu, sio kila kitu rais ndio akague wakati mwingine meko alikuwa ana jichosha tu!!zile kota za magomeni alizikagua mala ngapi kila akienda anatoa muda mala ya mwisho ilikuwa mwaka jana mwanzoni, akawanyang'anya TBA akawapa magereza wamalizie wakasema ndani ya miezi 3!!hadi leo bado!!hapo bandarini alikwenda mala ngapi ila kila akirudi uozo bado uko pale pale?!!imalisha mfumo sio kujiimalisha wewe tu!!hapo ndio waafrika tunashindwa
 
Back
Top Bottom