TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

Ukiwa dpp ukiwa maskini basi hiyo ni uzembe wako!

Ova
 
Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Akague miradi kwani kazi ya Mawaziri ni nini?
 
... hata mimi sijasikia lakini ndio hivyo ni Jaji wa High Court. Mambo mengine sio lazima umma ujulishwe Mkuu hasa kama sio mdau wa tasnia hizo.
Ni Jaji Kiongozi

Second Authority at the Judiciary of TANZANIA after Chief Justice
 
Ndiyo dawa pekee kwa DPP ukiwa Rais ni kumpandisha cheo na ujumbe utakuwa umemfikia DPP ajipime na kujisahihisha ktk cheo chake kipya cha juu.
Sasa hapo kakomolewa au kapandishwa cheo?
 
Mganga Biswalo hapana, hatateda haki. Hili Mama umechemsha sana. Ameumiza watu sana huy, nawe unalijua hilo, bado unampeleka Mahakamani atoe hukumu
Mbona bavicha wenzio wanashangilia?
 
... hata DPP aliyepita (Eliezer Feleshi) aliboronga sana to our surprise akapewa ujaji enzi za Kikwete nadhani.

Hata yule aliyekula chake akaingiza nolle prosequi kwa wale wasomali wa Moshi walioburuza mtu na gari.

Hii inaitwa ‘kicking ass upstairs’
 
Naona asilimia kubwa ni wakristo, hapo hutowasikia waislamu wakilalama,
Sasa ngojea mama aje afanye uteuzi wenye majina mengi waislamu uone hawa wa upande wa pili watakavyo tanua midomo Kama chai jaba,,
Rais wasasa haangalii dini ,au kabila Kama alivyokuwa anafanya yule aliyekata roho, bali ni namna gani uyo anaemteua ataenda na kasi yake
Sasa nmegundua shida yako ilipo,!

Nlifikri unamshangilia mama kwa makusudi kumbe nilikuwa nakosea.
 
Mambo mengine ni kujichosha tu, sio kila kitu rais ndio akague wakati mwingine meko alikuwa ana jichosha tu!!zile kota za magomeni alizikagua mala ngapi kila akienda anatoa muda mala ya mwisho ilikuwa mwaka jana mwanzoni, akawanyang'anya TBA akawapa magereza wamalizie wakasema ndani ya miezi 3!!hadi leo bado!!hapo bandarini alikwenda mala ngapi ila kila akirudi uozo bado uko pale pale?!!imalisha mfumo sio kujiimalisha wewe tu!!hapo ndio waafrika tunashindwa
mala ngapi ndio nini. hivi kuandika ni issue kutoa hoja utaweza kweli
 
Sawa lakini kule kuna majukumu mengi sana, na pesa unazopewa ziko kwenye utaratibu ila jamaa anaona kabisa kwake ni demotion kubwa sana!!jamaani msicheze na u DPP, tena wa awamu ya tano??alikuwa Mungu mtu!!mi pesa inakusanywa tu tena unaambiwa usiziweke kwenye account zilete hapa ofisini!!mtu akisema nimekufutia mashitaka hakuna mtu wa kuhoji!!
DPP ni mmoja tu, majaji ni wengi..
U-DPP ni noma
 
Huyu alipaswa kufukuzwa na kushitakiwa
Ni mchakato mrefu pia katiba inamlinda DPP. Hivyo mfano DPP angetofautiana na utashi wa mwendazake dawa ni kumpandisha cheo.

Pia rais ukiona huridhishwi na mwenendo wa DPP pia njia rahisi ni kumpandisha cheo.

Kwa nchi za Madola wadhifa huu wa DPP ni wenye nguvu sana kikatiba ktk nchi za Jumuiya za Madola / Commonwealth.
 
Back
Top Bottom