Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM Alipanga mwezi wasita mwakani umeme wa Mwl.nyerere ndo utwashwa, Sasa kwa huyu msafiri sjui kama utawashwa.[emoji26]Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Acha Mungu aitwe Mungu, tumshukuru kwa yaliyotokea huko TCRA, nako wamekaribisha maoni ya wadau juu ya sheria mbovu , za mitandao, zilizopitishwa 2018!!ili zifanyiwe marekebisho!!Shetani hakuwa na kazi yoyote
hataki tuvyeo tudogoTundu Lissu hana sifa za kuwa DPP?
Akague miradi kwani kazi ya Mawaziri ni nini?Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Ni Jaji Kiongozi... hata mimi sijasikia lakini ndio hivyo ni Jaji wa High Court. Mambo mengine sio lazima umma ujulishwe Mkuu hasa kama sio mdau wa tasnia hizo.
Sasa hapo kakomolewa au kapandishwa cheo?Ndiyo dawa pekee kwa DPP ukiwa Rais ni kumpandisha cheo na ujumbe utakuwa umemfikia DPP ajipime na kujisahihisha ktk cheo chake kipya cha juu.
Mbona bavicha wenzio wanashangilia?Mganga Biswalo hapana, hatateda haki. Hili Mama umechemsha sana. Ameumiza watu sana huy, nawe unalijua hilo, bado unampeleka Mahakamani atoe hukumu
... hata DPP aliyepita (Eliezer Feleshi) aliboronga sana to our surprise akapewa ujaji enzi za Kikwete nadhani.
Sasa nmegundua shida yako ilipo,!Naona asilimia kubwa ni wakristo, hapo hutowasikia waislamu wakilalama,
Sasa ngojea mama aje afanye uteuzi wenye majina mengi waislamu uone hawa wa upande wa pili watakavyo tanua midomo Kama chai jaba,,
Rais wasasa haangalii dini ,au kabila Kama alivyokuwa anafanya yule aliyekata roho, bali ni namna gani uyo anaemteua ataenda na kasi yake
Jinyonge... mtu anaboronga badala ya demotion anapata promotion sio sawa Mkuu!
mala ngapi ndio nini. hivi kuandika ni issue kutoa hoja utaweza kweliMambo mengine ni kujichosha tu, sio kila kitu rais ndio akague wakati mwingine meko alikuwa ana jichosha tu!!zile kota za magomeni alizikagua mala ngapi kila akienda anatoa muda mala ya mwisho ilikuwa mwaka jana mwanzoni, akawanyang'anya TBA akawapa magereza wamalizie wakasema ndani ya miezi 3!!hadi leo bado!!hapo bandarini alikwenda mala ngapi ila kila akirudi uozo bado uko pale pale?!!imalisha mfumo sio kujiimalisha wewe tu!!hapo ndio waafrika tunashindwa
DPP ni mmoja tu, majaji ni wengi..Sawa lakini kule kuna majukumu mengi sana, na pesa unazopewa ziko kwenye utaratibu ila jamaa anaona kabisa kwake ni demotion kubwa sana!!jamaani msicheze na u DPP, tena wa awamu ya tano??alikuwa Mungu mtu!!mi pesa inakusanywa tu tena unaambiwa usiziweke kwenye account zilete hapa ofisini!!mtu akisema nimekufutia mashitaka hakuna mtu wa kuhoji!!
Na KufungwaHuyu alipaswa kufukuzwa na kushitakiwa
Ni mchakato mrefu pia katiba inamlinda DPP. Hivyo mfano DPP angetofautiana na utashi wa mwendazake dawa ni kumpandisha cheo.Huyu alipaswa kufukuzwa na kushitakiwa