Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
OkeyUna maana ileee safari ya kwa M7 na kwa Mr Freedom juzi, nyumba ya Jamaa wa Msoga na Benzi ya Mzee Ruksa vimekomba ^killer-key-2^ pale hazinani. Kumbe ndiyo maana waliharakisha sanaaa kumpandisha cheo Dkt Mpango ili atoke kule wafanye yao!??? Hii ni hatari na robo ^tar-two^¡¡¡ Nahisi kufikia mwisho wa mwaka Bi Mkubwa lazima atatembeza bakuli la michango huku mtaani, kama ndio mwendo huu.
Chama chenyewe ni chama cha majambazi, lazima atabaki na kupata promotionTusubiri uteuzi wa DCs na RCs tushuhudie jambazi La kule hai Bwana sabaya liteuliwe kwenda kuendeleza ujambazi wake, hatutaliacha salama
Kuteua na kutumbua nadhani 'mungu' wako bado anaongoza, usiseme kabisa hii ndio kazi mama anayoweza! Sasa ulitakaje, muda wa majaji umeisha akae tu asiteue majaji?
Acha chuki dogo
... hata DPP aliyepita (Eliezer Feleshi) aliboronga sana to our surprise akapewa ujaji enzi za Kikwete nadhani.DPP siku zote akitaka kuondolewa ni kumpandisha awe jaji, DPP cheo kina kinga kikatiba.
Mganga hafai hata kuwa mtendaji wa mtaa
Na Feleshi ndio Jaji KiongoziBiswalo atakutana na Fereshi!
... hata DPP aliyepita (Eliezer Feleshi) aliboronga sana to our surprise akapewa ujaji enzi za Kikwete nadhani.
Mambo Mama D?Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
Mama anatekeleza ile ahadi yake ya haki, uhuru na demokrasiaDPP wamemtoa Mganga out
Jamani Rais afanye mangapi, kama watu wa kusimamia shughuli hizo wapo na wanalipwa, basi si waachie ngazi , manake wapo wengi wenye uwezo wamejazana mtaani kumsaidia kazi kwa ufanisi zaidi...kazi iendelee.Mwambie Bi Mkubwa akakague mradi wa treni umefikia asilimia 70, asimwachie tuuuu Dkt Kadogosa. Aende pia Rufiji akakague mradi wa umeme. Bi Mkubwa achana na mambo ya makaratasi. JK alishindwa hivyo kwa nadharia za mezani. JPM ulisema ni mwalimu wako --- yaani ulichojifunza kwake ni kukalia hiko kiti tuuu labda na hiyo red peni!??? Nenda hata kuleeeee Imbigilasole ukakague ule mradi mlioahidi na bosi wako kwenye kampeni last year, sawa!???
Mganga Biswalo hapana, hatateda haki. Hili Mama umechemsha sana. Ameumiza watu sana huy, nawe unalijua hilo, bado unampeleka Mahakamani atoe hukumuRais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
Powa joshydamaMambo Mama D?
Jaji wa Mahakama Kuu ana entitlement nyingi na Serikali inawajibika kumhudumiaNdiyo dawa pekee kwa DPP ukiwa Rais ni kumpandisha cheo na ujumbe utakuwa umemfikia DPP ajipime na kujisahihisha ktk cheo chake kipya cha juu.
Mambo mengine ni kujichosha tu, sio kila kitu rais ndio akague wakati mwingine meko alikuwa ana jichosha tu!!zile kota za magomeni alizikagua mala ngapi kila akienda anatoa muda mala ya mwisho ilikuwa mwaka jana mwanzoni, akawanyang'anya TBA akawapa magereza wamalizie wakasema ndani ya miezi 3!!hadi leo bado!!hapo bandarini alikwenda mala ngapi ila kila akirudi uozo bado uko pale pale?!!imalisha mfumo sio kujiimalisha wewe tu!!hapo ndio waafrika tunashindwaMwambie Bi Mkubwa akakague mradi wa treni umefikia asilimia 70, asimwachie tuuuu Dkt Kadogosa. Aende pia Rufiji akakague mradi wa umeme. Bi Mkubwa achana na mambo ya makaratasi. JK alishindwa hivyo kwa nadharia za mezani. JPM ulisema ni mwalimu wako --- yaani ulichojifunza kwake ni kukalia hiko kiti tuuu labda na hiyo red peni!??? Nenda hata kuleeeee Imbigilasole ukakague ule mradi mlioahidi na bosi wako kwenye kampeni last year, sawa!???
Sasa haki itaonekana ofisini kwa Dpp. Lissu ana pewa hii nafasiBora DPP Mganga ameondoka mpuuzi sn
Sijawahi ona hukumu aliyotoa Feleshi, mwenye nayo aniwekee hapa..ani tag please(Eliezer Feleshi)