... mtu anaboronga badala ya demotion anapata promotion sio sawa Mkuu!Ndiyo dawa pekee kwa DPP ukiwa Rais ni kumpandisha cheo na ujumbe utakuwa umemfikia DPP ajipime na kujisahihisha ktk cheo chake kipya cha juu.
Samia haaminiki, katika majaji nilitegemea angalau mawakili wa kujitegemea wateuliwe maana kuna walio wazuri sana. Kinyume hakuna hata mmoja. Huyu mama twendeni tu mtaona huko mbeleSasa haki itaonekana ofisini kwa Dpp. Lissu ana pewa hii nafasi
... hata mimi sijasikia lakini ndio hivyo ni Jaji wa High Court. Mambo mengine sio lazima umma ujulishwe Mkuu hasa kama sio mdau wa tasnia hizo.Sijawahi ona hukumu aliyotoa Feleshi, mwenye nayo aniwekee hapa..ani tag please
Bora ameondoka huyu shetaniAwamu ya Sita ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan inazidi kujikita mizizi yake kwa kupanga safu za nafasi muhimu.
Nafasi ya DPP siku zote akitaka kuondolewa ni kumpandisha awe jaji ili umuondoe .
DPP cheo ni cheo kikubwa chenye kinga kikatiba na dawa ya kumuondoa ni kumpandisha cheo kama katika teuzi ya Leo
Soma zaidi kuhusu DPP Historia ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka |Ofisi ya Taifa ya Mashtaka
Kukagua miradi ni kazi ndogo sana kwa cheo cha rais. Makamu wake, Waziri Mkuu na Mawaziri wanaweza kufanya kazi hizo.Mwambie Bi Mkubwa akakague mradi wa treni umefikia asilimia 70, asimwachie tuuuu Dkt Kadogosa. Aende pia Rufiji akakague mradi wa umeme. Bi Mkubwa achana na mambo ya makaratasi. JK alishindwa hivyo kwa nadharia za mezani. JPM ulisema ni mwalimu wako --- yaani ulichojifunza kwake ni kukalia hiko kiti tuuu labda na hiyo red peni!??? Nenda hata kuleeeee Imbigilasole ukakague ule mradi mlioahidi na bosi wako kwenye kampeni last year, sawa!???
Mi nilisema mapema huyu mama siyoSamia haaminiki, katika majaji nilitegemea angalau mawakili wa kujitegemea wateuliwe maana kuna walio wazuri sana. Kinyume hakuna hata mmoja. Huyu mama twendeni tu mtaona huko mbele
... umejuaje "wengi ni wa upande mmoja" Mkuu?Naona asilimia kubwa ni wakristo, hapo hutowasikia waislamu wakilalama,
Sasa ngojea mama aje afanye uteuzi wenye majina mengi waislamu uone hawa wa upande wa pili watakavyo tanua midomo Kama chai jaba,,
Rais wasasa haangalii dini ,au kabila Kama alivyokuwa anafanya yule aliyekata roho, bali ni namna gani uyo anaemteua ataenda na kasi yake
Kabisa siyo kwenda kuzindua madarasa na madarajaKukagua miradi ni kazi ndogo sana kwa cheo cha rais. Makamu wake, Waziri Mkuu na Mawaziri wanaweza kufanya kazi hizo.
Rsis anapaswa afanye kazi kubwakubwa kama kutoa vision kwa Taifa kama anavyofanya kwa sasa
Aliyekuwa DPP Biswalo Mganga ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Kilichomtokea Hakina tofauti Sana na Kilichomtokea Bashiru na Polepole. Hii style ya mama ni kama anatumia Ganzi maumivu utayasikia baadaye.
Bila DPP kuleta Mashtaka Jaji Hana Kazi, na Mganga anabakia kuwa na Mganga alikuwa zaidi ya DPP alipewa Uwezo wa kufanya Negotiation na mtuhumiwa na Kesi ikaisha.
Nafasi ya DPP ipo wazi
Ole Mushi
0712702602
Sawa lakini kule kuna majukumu mengi sana, na pesa unazopewa ziko kwenye utaratibu ila jamaa anaona kabisa kwake ni demotion kubwa sana!!jamaani msicheze na u DPP, tena wa awamu ya tano??alikuwa Mungu mtu!!mi pesa inakusanywa tu tena unaambiwa usiziweke kwenye account zilete hapa ofisini!!mtu akisema nimekufutia mashitaka hakuna mtu wa kuhoji!!Jaji wa Mahakama Kuu ana entitlement nyingi na Serikali inawajibika kumhudumia
Although, hadi uwe DPP lazima uwe ni mvaa suti nyeusi
... "naenda kufungulia nchi" mataga hawawezi kuelewa ukubwa wa hiyo vision!Kukagua miradi ni kazi ndogo sana kwa cheo cha rais. Makamu wake, Waziri Mkuu na Mawaziri wanaweza kufanya kazi hizo.
Rsis anapaswa afanye kazi kubwakubwa kama kutoa vision kwa Taifa kama anavyofanya kwa sasa
Apewe atende haki akiharibu tuna lala nayeSasa haki itaonekana ofisini kwa Dpp. Lissu ana pewa hii nafasi
Na wala huwezi katia rufaa maamuzi yake aseeSawa lakini kule kuna majukumu mengi sana, na pesa unazopewa ziko kwenye utaratibu ila jamaa anaona kabisa kwake ni demotion kubwa sana!!jamaani msicheze na u DPP, tena wa awamu ya tano??alikuwa Mungu mtu!!mi pesa inakusanywa tu tena unaambiwa usiziweke kwenye account zilete hapa ofisini!!mtu akisema nimekufutia mashitaka hakuna mtu wa kuhoji!!
Rais anaenda kuzindua kiwanda cha pipi kijiti!!!ahaaa jamani!!Kabisa siyo kwenda kuzindua madarasa na madaraja
Sasa ana kwenda kuripoti kwa mtu. Ubosi ausahau.Ndiyo dawa pekee kwa DPP ukiwa Rais ni kumpandisha cheo na ujumbe utakuwa umemfikia DPP ajipime na kujisahihisha ktk cheo chake kipya cha juu.
Siyo kivipi ? Kosa liko wapi ?Mi nilisema mapema huyu mama siyo
Magufuli alikomba hazina yoteUna maana ileee safari ya kwa M7 na kwa Mr Freedom juzi, nyumba ya Jamaa wa Msoga na Benzi ya Mzee Ruksa vimekomba ^killer-key-2^ pale hazinani. Kumbe ndiyo maana waliharakisha sanaaa kumpandisha cheo Dkt Mpango ili atoke kule wafanye yao!??? Hii ni hatari na robo ^tar-two^¡¡¡ Nahisi kufikia mwisho wa mwaka Bi Mkubwa lazima atatembeza bakuli la michango huku mtaani, kama ndio mwendo huu.
Siku moja walionyesha mijinoti imekaribia kujaa chumba , eti wale waliokubali makosa na kuingia makubaliano ya kulipa!!pale kuna nini?waezipiga sana!!lakini kwenye ujaji , hakuna ubabe, ukimuonea mtu anakata rufaa, au ana kukataa!!!jamaa ni pigo sana kwake, ila kwa wapenda haki ni furaha!!Na wala huwezi katia rufaa maamuzi yake asee