ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ameula nini hapo!?Acheni ujinga Biswalo kaula ,nafasi ya DPP huteuliwa na Rais ,hivyo akizingua anafukuzwa tu kazi ,na si kupandishwa cheo ,hii mnayofanya ni propaganda mfu,
Biswalo kaitendea haki ofisi ya DPP kwa kuwatemesha pesa za umma vibaka wote akiwemo na baba yako mzazi
mimi naanza kuhisi kuhisi kuna ka kikundi kanafanya juhudi kubwa kum undermine mama. Why?!? ila hawatafanikiwa abadanSafari mbili tu za mama zinakuwa nongwa?! Kusingekuwa na Corona duniani, mama angewakomesha, nyie wafiwa!
DPPAcheni ujinga Biswalo kaula ,nafasi ya DPP huteuliwa na Rais ,hivyo akizingua anafukuzwa tu kazi ,na si kupandishwa cheo ,hii mnayofanya ni propaganda mfu,
Biswalo kaitendea haki ofisi ya DPP kwa kuwatemesha pesa za umma vibaka wote akiwemo na baba yako mzazi
Kwani lazima akakague sahivi ili iweje Sasa....Yani tz imekua takataka eti mpaka raisi akakague Jambo dogo Kama hilo ndo mambo yaende wakati Kuna mawaziri,makatibu na wengine kibao,like serious raisi afanye kazi yakukagua miradi hii kitu inanishangazaga Sana afu ni tz pekee ake raisi anatakiwa atafute fedha za miradi na kuandaa mipango madhubuti ya miradi afu baada ya hapo Kuna mawaziri na makatibu wakuu wasimamie na wakague ikipendeza waziri atafanya ukaguzi raisi aletewe taarifa au siku yakuzindua Kama yupo free ataenda Yani kweli raisi wa nchi atokage ikulu aache kufatilia na kuweka mipango madhubuti awe anazurula zurula kwene site hahahha only on tz......tuwape nguvu na tuwaamni watendaji walio chini ya raisiMwambie Bi Mkubwa akakague mradi wa treni umefikia asilimia 70, asimwachie tuuuu Dkt Kadogosa. Aende pia Rufiji akakague mradi wa umeme. Bi Mkubwa achana na mambo ya makaratasi. JK alishindwa hivyo kwa nadharia za mezani. JPM ulisema ni mwalimu wako --- yaani ulichojifunza kwake ni kukalia hiko kiti tuuu labda na hiyo red peni!??? Nenda hata kuleeeee Imbigilasole ukakague ule mradi mlioahidi na bosi wako kwenye kampeni last year, sawa!???
Ndo njia yakumuondoa... hata DPP aliyepita (Eliezer Feleshi) aliboronga sana to our surprise akapewa ujaji enzi za Kikwete nadhani.
Ushuzi tupuMagufuli alikomba Azina yote
Kafufueni mzoga wenu ukawashe umeme Kama vipi,
Anachezea kichapo uko alipo hadi ajibu Azory gwanda na Ben roho zao zipo wapi, ma.nina
Japo umeongea point na nimeelewa ila Jifunze matumizi ya R na L ...Mambo mengine ni kujichosha tu, sio kila kitu rais ndio akague wakati mwingine meko alikuwa ana jichosha tu!!zile kota za magomeni alizikagua mala ngapi kila akienda anatoa muda mala ya mwisho ilikuwa mwaka jana mwanzoni, akawanyang'anya TBA akawapa magereza wamalizie wakasema ndani ya miezi 3!!hadi leo bado!!hapo bandarini alikwenda mala ngapi ila kila akirudi uozo bado uko pale pale?!!imalisha mfumo sio kujiimalisha wewe tu!!hapo ndio waafrika tunashindwa
Hahaaa aisee demolition ndio nini!?Kwa DPP hiyo ni demolition
... huyo ni Otorong'ong'o ujue! Yuko kwenye igizo!Hahaaa aisee demolition ndio nini!?
sema demotion
Hahahaha dahnyie wafiwa!
7ya hachomoiWatu wanasubiri tu mkeka wa RCs na DCs
Pole mfiwa wa Mwendazake, ndiyo hivyo Tena endelea na msibaUna maana ileee safari ya kwa M7 na kwa Mr Freedom juzi, nyumba ya Jamaa wa Msoga na Benzi ya Mzee Ruksa vimekomba ^killer-key-2^ pale hazinani. Kumbe ndiyo maana waliharakisha sanaaa kumpandisha cheo Dkt Mpango ili atoke kule wafanye yao!??? Hii ni hatari na robo ^tar-two^¡¡¡ Nahisi kufikia mwisho wa mwaka Bi Mkubwa lazima atatembeza bakuli la michango huku mtaani, kama ndio mwendo huu.
Demolition mkuu....Yani kama ni kushuka basi DPP kaporomokaHahaaa aisee demolition ndio nini!?
sema demotion
Na ndio katiba hii hii CCM wanaikumbatia ! Mtu mmoja hawezi kupewa mamlaka makubwa hivi na kupewa kinga juu!Awamu ya Sita ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan inazidi kujikita mizizi yake kwa kupanga safu za nafasi muhimu.
Nafasi ya DPP siku zote akitaka kuondolewa ni kumpandisha awe jaji ili umuondoe .
DPP cheo ni cheo kikubwa chenye kinga kikatiba na dawa ya kumuondoa ni kumpandisha cheo kama katika teuzi ya Leo
Soma zaidi kuhusu DPP Historia ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka |Ofisi ya Taifa ya Mashtaka
Huyu mama hatabiriki, atambakiza....Watu wanasubiri tu mkeka wa RCs na DCs
nafahamu moja ya kumfutia Fatma Karume uwakili ka sababu ya kumshtaki Magufuli juu ya Uteuzi wa Mwanashria Mkuu wa SerikaliSijawahi ona hukumu aliyotoa Feleshi, mwenye nayo aniwekee hapa..ani tag please