TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

Acheni ujinga Biswalo kaula ,nafasi ya DPP huteuliwa na Rais ,hivyo akizingua anafukuzwa tu kazi ,na si kupandishwa cheo ,hii mnayofanya ni propaganda mfu,
Biswalo kaitendea haki ofisi ya DPP kwa kuwatemesha pesa za umma vibaka wote akiwemo na baba yako mzazi
Ameula nini hapo!?
 
Acheni ujinga Biswalo kaula ,nafasi ya DPP huteuliwa na Rais ,hivyo akizingua anafukuzwa tu kazi ,na si kupandishwa cheo ,hii mnayofanya ni propaganda mfu,
Biswalo kaitendea haki ofisi ya DPP kwa kuwatemesha pesa za umma vibaka wote akiwemo na baba yako mzazi
DPP
Director of
Public
Prosecutions
Act No.1
of 2005
59B.-(1) There shall be a Director of Public Prosecutions who shall be
appointed by the President from amongst persons with qualifications specified in
subarticle (2) of Article 59 and has continuously held those qualifications for a
period of not less than ten years.
Art.12 (2) The Director of Public Prosecutions shall have powers to institute,
prosecute and supervise all criminal prosecutions in the country.
(3) The powers of the Director of Public Prosecutions under subarticle
(2), may be exercised by him in person or on his directions, by officers under him,
or any other officers who discharge these duties under his instructions.
(4) In exercising his powers, the Director of Public Prosecutions shall be
free, shall not be interfered with by any person or with any authority and shall
have regard to the following -
(a) the need to dispensing justice;
(b) prevention of misuse of procedures for dispensing justice;
(c) public interest.
(5) The Director of Public Prosecutions shall exercise his powers as may
be prescribed by any law enacted or to be enacted by the Parliament.

Source: Constitution of the United Republic of Tanzania
 
Mwambie Bi Mkubwa akakague mradi wa treni umefikia asilimia 70, asimwachie tuuuu Dkt Kadogosa. Aende pia Rufiji akakague mradi wa umeme. Bi Mkubwa achana na mambo ya makaratasi. JK alishindwa hivyo kwa nadharia za mezani. JPM ulisema ni mwalimu wako --- yaani ulichojifunza kwake ni kukalia hiko kiti tuuu labda na hiyo red peni!??? Nenda hata kuleeeee Imbigilasole ukakague ule mradi mlioahidi na bosi wako kwenye kampeni last year, sawa!???
Kwani lazima akakague sahivi ili iweje Sasa....Yani tz imekua takataka eti mpaka raisi akakague Jambo dogo Kama hilo ndo mambo yaende wakati Kuna mawaziri,makatibu na wengine kibao,like serious raisi afanye kazi yakukagua miradi hii kitu inanishangazaga Sana afu ni tz pekee ake raisi anatakiwa atafute fedha za miradi na kuandaa mipango madhubuti ya miradi afu baada ya hapo Kuna mawaziri na makatibu wakuu wasimamie na wakague ikipendeza waziri atafanya ukaguzi raisi aletewe taarifa au siku yakuzindua Kama yupo free ataenda Yani kweli raisi wa nchi atokage ikulu aache kufatilia na kuweka mipango madhubuti awe anazurula zurula kwene site hahahha only on tz......tuwape nguvu na tuwaamni watendaji walio chini ya raisi
 
Mambo mengine ni kujichosha tu, sio kila kitu rais ndio akague wakati mwingine meko alikuwa ana jichosha tu!!zile kota za magomeni alizikagua mala ngapi kila akienda anatoa muda mala ya mwisho ilikuwa mwaka jana mwanzoni, akawanyang'anya TBA akawapa magereza wamalizie wakasema ndani ya miezi 3!!hadi leo bado!!hapo bandarini alikwenda mala ngapi ila kila akirudi uozo bado uko pale pale?!!imalisha mfumo sio kujiimalisha wewe tu!!hapo ndio waafrika tunashindwa
Japo umeongea point na nimeelewa ila Jifunze matumizi ya R na L ...
 
adui wa taifa hili ni CCM,
Itikadi yao ni unafiki, Sera yao ni uongo, Sifa yao ni wizi, uwezo wao hauna mpaka kwani Silaha yao ya maangamizi ni vyombo vya dola...
Uhodari wao ni zao la ukondoo wetu, ujasiri wao ni zao la uoga wetu na usitawi wao ni zao la ujinga wetu...
 
Una maana ileee safari ya kwa M7 na kwa Mr Freedom juzi, nyumba ya Jamaa wa Msoga na Benzi ya Mzee Ruksa vimekomba ^killer-key-2^ pale hazinani. Kumbe ndiyo maana waliharakisha sanaaa kumpandisha cheo Dkt Mpango ili atoke kule wafanye yao!??? Hii ni hatari na robo ^tar-two^¡¡¡ Nahisi kufikia mwisho wa mwaka Bi Mkubwa lazima atatembeza bakuli la michango huku mtaani, kama ndio mwendo huu.
Pole mfiwa wa Mwendazake, ndiyo hivyo Tena endelea na msiba
 
Awamu ya Sita ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan inazidi kujikita mizizi yake kwa kupanga safu za nafasi muhimu.

Nafasi ya DPP siku zote akitaka kuondolewa ni kumpandisha awe jaji ili umuondoe .

DPP cheo ni cheo kikubwa chenye kinga kikatiba na dawa ya kumuondoa ni kumpandisha cheo kama katika teuzi ya Leo

Soma zaidi kuhusu DPP Historia ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka |Ofisi ya Taifa ya Mashtaka
Na ndio katiba hii hii CCM wanaikumbatia ! Mtu mmoja hawezi kupewa mamlaka makubwa hivi na kupewa kinga juu!

Lazima uwepo utaratibu wa kuwajibika endapo akipatikana hatiani pia
 
One remarkable thing, hakuna aliyeteuliwa kutoka Principal and Senior Magistrate's court kuwa Jaji. Mbonà amewapiga chini kiasi hicho. Mashauri alipanda baada ya kuwafunga Mbowe.
Naona wametelekezwa, WHY?
 
Sijawahi ona hukumu aliyotoa Feleshi, mwenye nayo aniwekee hapa..ani tag please
nafahamu moja ya kumfutia Fatma Karume uwakili ka sababu ya kumshtaki Magufuli juu ya Uteuzi wa Mwanashria Mkuu wa Serikali
 
Back
Top Bottom