TEUZI: Rais Samia Suluhu ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu. DPP Mganga ateuliwa kuwa Jaji

Huyu Mganga hafai kuwa mtumishi wa umma anatakiwa kuwa gerezani kabisa.
Nakubaliana na yote uliyoandika kasoro pale unapomkosoa Rais Samia SSH kumteua Biswalo kuwa Jaji.

Pima kati ya mawili lipi ni jema. Biswalo kubakia DPP ambaye maamuzi yake ya kimashtaka yeye hawi challenged na mamlaka nyingine yeyote, au kuwa Jaji wa Mahakama Kuu anaweza kuwa challenged na Mahakama ya Rufaa?

Kumtoa DPP ni suala la kikatiba/ kisheria kama ilivyo kumtoa CAG. Rais ana mamlaka ya kuwateua, lakini kuwatoa ofsini ni mchakato mrefu.

Je mnataka Rais avunjje Katiba Kama Mwendazake alivyofanya kwa kutoa Prof Assad aliyekuwa CAG?

Tumepata Rais msikivu na anayependa kufuata Katiba, asiyependa kuonea watu bado haturidhiki?
Hebu tujifunze kwa yaliyotupata baada ya kumponda JK tukapata lile Shetani la Chato
 
Mkuu kwahiyo unategemea ataenda kutenda haki Mganga kwa tabia yake ya hovyo?
 
Kule kuna namna mbili ya kumdhibiti, kwanza yeye ni subordinate wa Jaji Kiongozi ambako kuna mechanisms vile vile ya kuaangalia maadili ya Majaji kwenye maamuzi.

Pili kuna Mahakama ya Rufaa ambayo aggrieved party anaweza kwenda kutafuta haki atakayonyimwa na Biswalo.

Ingawa vile mlalamikaji au mlalamikiwa ana haki ya kukubali au kumkataa Jaji aliyepangiwa
 
Mpaka ukate rufaa unakuwa umeshaumia sn
 
sioni tatizo kwenye uteuzi huu wa majaji 28, Rais wetu amebalansi vizuri kabisa ambao kimsingi unaimarisha umoja na mshikamano wa Taifa letu.
 
Hakuna pesa ya kupeleka kwenye miradi ndiyo anaitafuta, huyo alikuwa anazindua mpaka barabara ambazo zilizinduliwa na Mkapa asee
Hujui unachoongea, mkapa alipozindua barabara ilikaa milele bila kuharibika? Ikitengenezwa upya na ikazinduliwa upya Kuna ubaya gani?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ilifanya nini? Ilihusikaje kuhujumu uchumi? huwa nasikia sina undani wake

Hawa walikuwa wabia wa biashara wa Kikwete hivyo walikuwa wanaingiza makontena ya bidhaa zao na za watu wengine bila kulipa ushuru pale bandarini!! Walikuwa wanaingiza makontena zaidi ya 500 kila siku!!! Mwisho wa utawala wa Kikwete wakabadili jina na kuitwa GSM!!!!!
 
asante , hya sikuyajua. Kube JK alikuwa haramia kama wengine..
 
Na hilo ni moja yako mengine chungu nzima ikiwemo na FOREX deneominated bond which was floated when Mustapha Mkullo was Minister of Finance; fedha za ile bond haijulikani mpaka leo ilitumika kuwa mradi gari !!! Inawezekana waliipiga juu kwa juu.
 
Mzee Mgaya anasema ili uwe Mkurugenzi wa Mashtaka ni lazima uwe na sifa za kuweza kuwa Jaji wa mahakama kuu. Kwa maneno mengine DPP ni sawa na Jaji na ndio maana amepewa uwezo wa kuamua kesi ipi iende mahakamani na ipi isiende.

Kimsingi hayati Magufuli ndio alimpa ujaji Biswalo kwa kumteua kuwa DPP na hatukusikia mtu yoyote akilalamika na alichofanya Rais Samia ni kumbadilishia nafasi tu, anasema Mgaya

Chadema wajaribu kutenganisha mambo ya taaluma na siasa kwa sababu mambo mengine yako juu yao, amemalizia.

Kazi Iendelee!

Hapa Mzee Mgaya amepoteza kumbukumbu , Biswalo E. Mganga alieteuliwa mwaka 2014 kuwa DPP na Rais Jakaya Kikwete sio Rais John Magufuli
 
Mkiona huko majina ya bila kijali itikadi au vyama mniambie
 
Back
Top Bottom