TFF,bodi ya ligi na TAKUKURU kesho kuweni makini na upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma

pamba boy

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
252
Reaction score
392
Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.

Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!

Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
 
Lakini inawezekana ni kweli kucheza na Yanga wakati huu ni hatari ndio maana kuna timu ilikimbia kwa kutoleta timu uwanjani Machi 8, sasa hivi wanahaha hawajui tar 25 wapeleke timu uwanjani au wasuse.

Turudi nyuma kidogo ule msimu mnampambanisha Mpole kwa Mayele, unakumbuka magoli halali ya Mayele yalivyokua yanakataliwa ili tu Mpole apate kiatu. Uliwahi kutolea taadhari juu ya kile kitu?
 
Kwa hoja hii ni kweli Wana yanga one itawaumiza sana iwapo watakosa mchezaji Bora,mfungaji Bora na golikipa bora
 
Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.

Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!

Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Too late
 
Attachments

  • Screenshot_20250218-154711_1.jpg
    Screenshot_20250218-154711_1.jpg
    129.4 KB · Views: 34
Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.

Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!

Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Hayo magoli 4 atafunga tarehe 25.06.2025 usiwe na haraka
Halafu mbumbuku hiyo mechi inapigwa New Amaan Complex sio huko ulikokutaja.
 
Kwa hoja hii ni kweli Wana yanga one itawaumiza sana iwapo watakosa mchezaji Bora,mfungaji Bora na golikipa bora
Lengo la kwanza ni ubingwa haya mengine yanakuja baada. Msitake kuhamisha maada na kufanya hizo tuzo binafsi za wachezaji ni bora kuliko ubingwa.
 
Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.

Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!

Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Hakuna mechi yoyote uwanja wa Jamhuri Dodoma hapo kesho Juni 22. Kwa hiyo tunaipuuza thread yako.
 
Dalili kuu ya YANGA SC kuwa bingwa huwa ni milio toka kwa jirani...

unataka kutuaminisha kuwa siku hz dodoma ni bora sana kuliko zubeda fc?
kwamba zubeda fc kupigwa goal tano ni haki yao lakini timu zingne hapana? kwamba dodoma kufungwa fungwa na YANGA SC ni kosa lakn zubeda fc kufungwa mara nne mfululizo ndo haki?

ndugu zangu, wana kolowizard kaeni mkijua timu zingne zina haki kamili kikanuni na kifundi kufungwa na YANGA SC kama nyie mnavyofungwa, msiwaonee wivu..haki ya kufungwa na YANGA SC ni haki ya timu zote sema muda unatofautiana.
 
Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.

Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!

Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Kama hujui hata mechi inachezwa wapi, hii taarifa yako ni ubatili tu.
 
Unaweza ukashangaa Simba au Yanga mmojawapo akala mkong'oto...
 
Back
Top Bottom