TFF,bodi ya ligi na TAKUKURU kesho kuweni makini na upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma

TFF,bodi ya ligi na TAKUKURU kesho kuweni makini na upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma

Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.

Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!

Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Bangi mbaya ukivuta ukubwani!
Screenshot_20250621_192549_Edge.jpg
 
Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.

Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!

Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Jikumbushe kwanza mechi hizi.
Namungo vs Simba
Simba vs mashujaa
Pamba vs Simba
Halafu uongelee upangaji wa matokeo sasa
 
Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.

Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!

Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Mimi nashauri hao Takukuru waingie kazini tarehe 25 ili mkose visingizio.
 
Ila 5imba mkipanga nyie halali,ila kwa wenzenu mnabaki kujishtukia
 
Lakini inawezekana ni kweli kucheza na Yanga wakati huu ni hatari ndio maana kuna timu ilikimbia kwa kutoleta timu uwanjani Machi 8, sasa hivi wanahaha hawajui tar 25 wapeleke timu uwanjani au wasuse.

Turudi nyuma kidogo ule msimu mnampambanisha Mpole kwa Mayele, unakumbuka magoli halali ya Mayele yalivyokua yanakataliwa ili tu Mpole apate kiatu. Uliwahi kutolea taadhari juu ya kile kitu?
Ahoua mfungaji bora ,hutaki tembea mbele usituletee ngojera hapa
 
Kama Saido aliwafunga coast union gori 5 pekee naaminizinze ana haki ya kufunga hata gori 10 dodoma!.
Kipaumbile cha Yanga ni ubingwa hayo yabkipa bora, mfungaji bora huwa yanakuja auto na hayana tija kubwa kwa timu. Hivi ni vitu ambavyo simba ndio mmekuwa mkigombe msimu wa 4 sasa 😂😂 tokea kwa George Mpole mpk kwa Feisal.
 
Ni tawi la yanga, ndio masna fifa wamepiga hodi wewe subiri
Fifa wasingekuja kama yanga asingeanzisha movement za kudai haki zake!!. Hapa simba ananufaika na nini dhidi ya ujio wa Fifa wakati ni mmoja kati ya wataohusika katika utoaji wa maelezo ya kilichotokea trh 8. Huwa mnawaza nini au mnadandia gari tu😂.
 
Mkuu. Soccer ni mchezo miongoni mwamichezo michache, Duniani ambapo matokeo yake huwa hayafutwi ila waliohusika hupewa adhabu na matokeo hubaki kama yalivyotokea uwanjani.

Hivyo hata PCCB wakifanya uchunguzi na hayo matokeo yakawa kama unavyosema. Hakuna kitakachobadilka mkuu. Labda tu waamuzi na baadhi ya wachezaji kupigwa faini tu na si vinginevyo.
 
Yanga akicheza na dodoma au singida big stars hakuna mechi hapo ni futuhi.
 
Unatembea na mavi matakoni sasa kama hujui hata uwanja wa hiyo mechi unawezaje kuona dalili
 
Back
Top Bottom