Nimekwambia Muda ni majibuKwanini afunge magoli manne dhidi ya Dodoma wakati anaweza kuyapata kiulaini dhidi ya Sangoma Fc mechi itayofata?
Lakini inawezekana ni kweli kucheza na Yanga wakati huu ni hatari ndio maana kuna timu ilikimbia kwa kutoleta timu uwanjani Machi 8, sasa hivi wanahaha hawajui tar 25 wapeleke timu uwanjani au wasuse.Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!
Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Kwa hoja hii ni kweli Wana yanga one itawaumiza sana iwapo watakosa mchezaji Bora,mfungaji Bora na golikipa boraLakini inawezekana ni kweli kucheza na Yanga wakati huu ni hatari ndio maana kuna timu ilikimbia kwa kutoleta timu uwanjani Machi 8, sasa hivi wanahaha hawajui tar 25 wapeleke timu uwanjani au wasuse.
Turudi nyuma kidogo ule msimu mnampambanisha Mpole kwa Mayele, unakumbuka magoli halali ya Mayele yalivyokua yanakataliwa ili tu Mpole apate kiatu. Uliwahi kutolea taadhari juu ya kile kitu?
Too lateKuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!
Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Dodoma jiji ni nani asipigwe kama tulivyowapiga makolo...5
Hayo magoli 4 atafunga tarehe 25.06.2025 usiwe na harakaKuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!
Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Lengo la kwanza ni ubingwa haya mengine yanakuja baada. Msitake kuhamisha maada na kufanya hizo tuzo binafsi za wachezaji ni bora kuliko ubingwa.Kwa hoja hii ni kweli Wana yanga one itawaumiza sana iwapo watakosa mchezaji Bora,mfungaji Bora na golikipa bora
Hakuna mechi yoyote uwanja wa Jamhuri Dodoma hapo kesho Juni 22. Kwa hiyo tunaipuuza thread yako.Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!
Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Asante Kwa taarifa,barikiwa sanaHayo magoli 4 atafunga tarehe 25.06.2025 usiwe na haraka
Halafu mbumbuku hiyo mechi inapigwa New Amaan Complex sio huko ulikokutaja.
Kama hujui hata mechi inachezwa wapi, hii taarifa yako ni ubatili tu.Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!
Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Wakizidiwa hoja kinachobaki ni mitusi tu. Maana hana cha kuongeaMatusi ya nini wewe majukumu wa Rage