Bangi mbaya ukivuta ukubwani!Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!
Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Jikumbushe kwanza mechi hizi.Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!
Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Mimi nashauri hao Takukuru waingie kazini tarehe 25 ili mkose visingizio.Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji Kwa kauli yake ya "kucheza na yanga wakati huu ni Bora kucheza na real Madrid"ni kuwaandaa kisaikolojia watanzania Kwa matokeo ya kushangaza!!!
Utakaepinga ukweli huu, subiri Muda utakujibu.
Ahoua mfungaji bora ,hutaki tembea mbele usituletee ngojera hapaLakini inawezekana ni kweli kucheza na Yanga wakati huu ni hatari ndio maana kuna timu ilikimbia kwa kutoleta timu uwanjani Machi 8, sasa hivi wanahaha hawajui tar 25 wapeleke timu uwanjani au wasuse.
Turudi nyuma kidogo ule msimu mnampambanisha Mpole kwa Mayele, unakumbuka magoli halali ya Mayele yalivyokua yanakataliwa ili tu Mpole apate kiatu. Uliwahi kutolea taadhari juu ya kile kitu?
Ni tawi la yanga, ndio masna fifa wamepiga hodi wewe subiriDodoma jiji ni nani asipigwe kama tulivyowapiga makolo...5
Mbona husemi mechi za yanga zote na mataei yake, kenge weweJikumbushe kwanza mechi hizi.
Namungo vs Simba
Simba vs mashujaa
Pamba vs Simba
Halafu uongelee upangaji wa matokeo sasa
Fifa wasingekuja kama yanga asingeanzisha movement za kudai haki zake!!. Hapa simba ananufaika na nini dhidi ya ujio wa Fifa wakati ni mmoja kati ya wataohusika katika utoaji wa maelezo ya kilichotokea trh 8. Huwa mnawaza nini au mnadandia gari tu😂.Ni tawi la yanga, ndio masna fifa wamepiga hodi wewe subiri
Kwa kanuni ipi?Ni tawi la yanga, ndio masna fifa wamepiga hodi wewe subiri
Hata Mimi binafsi siwezi kuangalia mechi za yanga dhidi ya Dodoma Jiji na singida big starsYanga akicheza na dodoma au singida big stars hakuna mechi hapo ni futuhi.
Ndio maana wakifika kimataifa miaka yote wanatobolewa.Hata Mimi binafsi siwezi kuangalia mechi za yanga dhidi ya Dodoma Jiji na singida big stars
Mdogo wetu punguza hasira. Haya mambo ya mpira yasikupandishe sukariAhoua mfungaji bora ,hutaki tembea mbele usituletee ngojera hapa