Akihojiwa baada ya mechi Benjamin Asukile amesema yanga walikuwa wanawapigia simu wachezaji wa prison wawape mil 40 ili kupata mteremko mechi ya leo.
Fuatilieni hii tuhuma maana shahidi wa kwanza ni huyo Asukile. Ikigundulika ni uongo basi Asukile achukuliwe hatua na kama ni ukweli maana yake ni upangaji matokeo na yanga itawapasa washushwe daraja maana wanaharibu soka letu kwa kutaka kuwekeza kwenye rushwa baadala ya uwanjani.
Mkiacha hii tuhuma bila uchunguzi basi hamfai kuwepo hapo ofisini.