TFF fuatilieni hii tuhuma kwa Yanga kuwahonga wachezaji wa prison

TFF fuatilieni hii tuhuma kwa Yanga kuwahonga wachezaji wa prison

Rage aliwaza mbali sana alipowaita hawa viumbe'mbumbumbu'
Luc alikuwa sahihi kuwafananisha washabiki wa Yanga na Nyani.
FB_IMG_1619469570368.jpg
FB_IMG_1616853117648.jpg
 
Ndiyo matatizo ya mashabiki wa simba! Akili zao zote zimeshikiliwa na huyu mropokaji wao Hajji Manara!

Sasa kama Yanga imefanikiwa kuwahonga hao Prisons na kuwafunga, ilikuwaje timu yenu kushindwa pia kuwahonga katika mechi zote mbili mlizocheza kiasi cha kuambulia pointi 1 tu, tena ilikuwa ni ya kubahatisha kwenye dakika zalala salama?
 
Unakikumbuka kile chanzo cha habari cha kabwili alivyotaka kuhongwa na mikia,unajua ile kesi Yanga waliipeleka tff wakiwa na ushahidi wote lakini mpaka hii leo tff hawataki kuishughulikia
Hivi Simba ihonge kipa namba mbili wamwache kipa no moja, dogo alikuwa anatafuta attention ndio maana nyinyi wenyewe hamumwamini.
Mnasema mna ushaidi, mropokaji wenu mkuu alipoita atoe ushahidi wa anayosema ameshindwa, matokeo yake kaadhibiwa mnaanza kulalamika.
Mmezoea kulishwa ujinga.
 
Akihojiwa baada ya mechi Benjamin Asukile amesema yanga walikuwa wanawapigia simu wachezaji wa prison wawape mil 40 ili kupata mteremko mechi ya leo.

Fuatilieni hii tuhuma maana shahidi wa kwanza ni huyo Asukile. Ikigundulika ni uongo basi Asukile achukuliwe hatua na kama ni ukweli maana yake ni upangaji matokeo na yanga itawapasa washushwe daraja maana wanaharibu soka letu kwa kutaka kuwekeza kwenye rushwa baadala ya uwanjani.

Mkiacha hii tuhuma bila uchunguzi basi hamfai kuwepo hapo ofisini.
Bado ile ya Kabwili hawajaifanyia kazi. Tena ina ushahidi wa wazi zaidi
 
Hivi Simba ihonge kipa namba mbili wamwache kipa no moja, dogo alikuwa anatafuta attention ndio maana nyinyi wenyewe hamumwamini.
Mnasema mna ushaidi, mropokaji wenu mkuu alipoita atoe ushahidi wa anayosema ameshindwa, matokeo yake kaadhibiwa mnaanza kulalamika.
Mmezoea kulishwa ujinga.
Kweli ulikuwa bado mdogo kabwili ndie alikuwa kipa pekee wa Yanga wakati huo. Jitahidi kujifunza kwa wakubwa zako next time.
 
Yanga kawabeba sana refa mpaka Prison wakachukia.Kumbuka penati ya wazi walionyimwa refa anadai haoni.
Kwa sasa marefarii ndio tegemeo pekee la Yanga la kupata furaha ya matokeo uwanjani.
Marefarii wanalijua hilo na wanatimiza majibu wao wanaoufahamu vizuri kabisa.
Wanafanya hivyo ili kuleta mshikamano kwenye hiyo timu, la sivyo kungekuwa na mgogoro mkubwa sana.
Ile faulo ingekuwa upande wa Yanga Refa angefunika ipigwe penati.
Hata ungekuwa wewe Refarii lazima ungeisaidia hiyo timu kubwa ili isisambaratike.
 
Kweli ulikuwa bado mdogo kabwili ndie alikuwa kipa pekee wa Yanga wakati huo. Jitahidi kujifunza kwa wakubwa zako next time.
Wewe ndio mtoto kipindi hicho Kabwili kipa namba mbili hata namba hapati, utopolo wenyewe hawamwamini , kachezaji kenyewe kamekaa kishoga.
 
Kwa sasa marefarii ndio tegemeo pekee la Yanga la kupata furaha ya matokeo uwanjani.
Marefarii wanalijua hilo na wanatimiza majibu wao wanaoufahamu vizuri kabisa.
Wanafanya hivyo ili kuleta mshikamano kwenye hiyo timu, la sivyo kungekuwa na mgogoro mkubwa sana.
Ile faulo ingekuwa upande wa Yanga Refa angefunika ipigwe penati.
Hata ungekuwa wewe Refarii lazima ungeisaidia hiyo timu kubwa ili isisambaratike.
Halafu utopolo wanatembeza pesa kwanza kwenye kamati ya marefa halafu marefa ndio maana wakifanya utumbo hawaadhibiwi.
Refa wa Kagera na yanga hakuadhibiwa, refa wa kmc na yanga hakuadhibiwa badala yake aliambiwa aongeze umakini, refa wa yanga na simba hakuadhibiwa sana sana pamoja na kuwapo marefarii 6 mwenyekiti wa kamati ya marefa alisema ni makosa ya binadamu, refa wa yanga na Gwambina sina kumbukumbu nzuri kama aliadhibiwa.
Refa msaidizi wa Gwambina na Simba kazuiwa mizunguko mitatu ili ale pesa vizuri
 
Nyinyi mna ushahidi au mnazusha maneno, maneno yote aliyokuwa akisema Mwakalebela alipoitwa kashindwa kuthibitisha hata moja na huku mlikuwa mkimshangilia
Ulitegenea vikamati fake vya Karia/Kidau wamtendee haki Mwakalebela ?
 
Back
Top Bottom