mkuu kuna hoja na chanzo cha uhakika. usikipuuze kishabikiWamatopeni mnaweweseka kweli tatizo nini?
kwani mechi yao na prison imeishaje?mkuu kuna hoja na chanzo cha uhakika. usikipuuze kishabiki
1-0kwani mechi yao na prison imeishaje?
Mteremko mkubwa sana kutoka kwa refa .Mbaazi isipozaa husingizia jua!
Kwahiyo pale wameshinda kwasababu ya "mteremko?"
Uto kama kawa... ni either draw, kufungwa, au ushindi usiozidi goli 1.
Mkuu unamfahamu "Damian Kimti?Uto kama kawa... ni either draw, kufungwa, au ushindi usiozidi goli 1.
Mkuu unamfahamu "Damian Kimti?
Unaweza kuweka hayo mahojiano.Akihojiwa baada ya mechi Benjamin Asukile amesema yanga walikuwa wanawapigia simu wachezaji wa prison wawape mil 40 ili kupata mteremko mechi ya leo.
Fuatilieni hii tuhuma maana shahidi wa kwanza ni huyo Asukile. Ikigundulika ni uongo basi Asukile achukuliwe hatua na kama ni ukweli maana yake ni upangaji matokeo na yanga itawapasa washushwe daraja maana wanaharibu soka letu kwa kutaka kuwekeza kwenye rushwa baadala ya uwanjani.
Mkiacha hii tuhuma bila uchunguzi basi hamfai kuwepo hapo ofisini.
Wacha ushabiki wa kimalaya,hizi ni tuhuma nzito sanaWamatopeni mnaweweseka kweli tatizo nini?