TFF fuatilieni hii tuhuma kwa Yanga kuwahonga wachezaji wa prison

Hivi kombe lenyewe lina thamani ya shingapi mpaka yanga wahongwe milioni 40?? Tena dhidi ya wafungwa??
 
Wewe kwa ulichoona ni kweli wachezaji wa prizon wamecheza chini ya kiwango!?

Au unataka tupoteze muda kuchunguza jambo lililo wazi
 
Wafuatilie ni ile ya msemaji wa Azam

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Na ya Kabwili nayo ya kuhongwa IST ifuatiliwe pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…