TFF hakikisheni Simba inakuwa ya pili ili iungane na Yanga kuiletea nchi heshima. Sio Azam

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.

Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.

NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
 
Na Sudan wanavyopeleka majina ya timu zao kushiriki cafcl unajua ni kanuni ipi imetumika ? ..angalia kanuni za caf zinasemaje ?
Sudan wanatumia sheria hii kupeleka mwakilishi kama mashindano yao ya ndani hayakufanyika.

" If for any reason, the national league of a federation did not take place, the federation in
question has the right to submit the participation request of the same club(s) engaged in the
previous edition of the Champions League.
 
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema Tff ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.

NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
Are you suggesting for a match fixing?
 
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema Tff ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.

NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
Naunga mkono hoja
 
Ndicho kinachomaanishwa, yaani kama marefa kupewa maelekezo, kama timu pinzani kupewa maelekezo au vyovyote vile ili Simba ipate nafasi ya pili. Ndio soka letu limefikia kwenye akili hizi

Hili ni tusi kubwa sana kwa TFF.
 
Back
Top Bottom