Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Simba ibebwe au ipewe ushindi wa mezani?Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.
NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
Naomba matokeo pleaseMECHI YA LEO DHIDI YA JKT SITEGEMEI AZAM KUSHINDA. ATAFUNGWA AU ATOKE SARE.
MTANIKUMBUKA BAADAE
Azam iko kwenye nafasi ile ya pili kwa sabababu ya Kitoyase tu. Ndiyo siku walipopata mabao mengi ya ulaini laini.Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.
NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
Kausha. Kuna namna nyingine inafanyika kuipa Simba magoli mengi zaidi ampite AzamNaomba matokeo please
Kwani mara ngapi Simba na Yanga zimekuwa zikibebwa . Unajidai hujui. Au kwa kuwa huwa haitangazwiKwa hiyo Simba ibebwe au ipewe ushindi wa mezani?
True Egypt walishafanya kwa Al Ahly. Wanatizama history ya team kwenye mashindano ya Africa. Mimi ningetamani Azam awe wa pili lakini ni ukweli kabisa hawawezi kutuwakilisha vizuri kulinda heshima tuliyoitafuta. Azam kaonesha hawezi sababu kisha shiriki kwenye kombe la pili Africa na ilikuwa aibu tu dhidi ya team ndogo tu sasa kweli Azam anaweza kukabiliana na kina Al Ahly, Raja au Mamelodi? jibu ni hapana.Wakishindwa kabisa wawe km Misri tu.
Watume majina ya wawakilishi ya Simba na Yanga.
Kanuni inawaruhusu
Azam wangetafuta uzoefu kwenye cup sio champions league, ameshiriki mara nyingi tu na kutolea na vitimu vidogo tu kama kina Ihefu huko Africa sasa ataweza kutafuta uzoefu na kina Al Ahly? Hapa tunaongelea kulinda rank zetu Africa na bila shaka Azam hawawezi. Kuwa bingwa haina maana utafanya vizuri Africa team ya 2 au 3 zinaweza kufanya vizuri kuliko bingwa. Liverpool 2005 alichukua CL na alikuwa wa 4 kwao mwaka uliofuata alikuwa wa 6 kwao lakini akapewa nafasi ashiriki akaishia Final. kwanini? uzoefu.Mashabiki wa timu ndio hawatoenda uwanjani kuangalia mechi ya Azam dhidi ya Mamelodi au Al Ahly ila kwa mashabiki wa mpira wataenda vizuri tu kucheck hiyo mechi. Hiyo dhana ndio kudumaza soka kwa usimba na uyanga. Hata Azam wanastahili kushiriki hiyo michuano ili wawe na uzoefu.
Azam wangetafuta uzoefu kwenye cup sio champions league, ameshiriki mara nyingi tu na kutolea na vitimu vidogo tu kama kina Ihefu huko Africa sasa ataweza kutafuta uzoefu na kina Al Ahly? Hapa tunaongelea kulinda rank zetu Africa na bila shaka Azam hawawezi. Kuwa bingwa haina maana utafanya vizuri Africa team ya 2 au 3 zinaweza kufanya vizuri kuliko bingwa. Liverpool 2005 alichukua CL na alikuwa wa 4 kwao mwaka uliofuata alikuwa wa 6 kwao lakini akapewa nafasi ashiriki akaishia Final. kwanini? uzoefu.
Azam wanaweza ndani ila kama muwakilishi wa nchi, pale parefu kwao washuke level moja kutuwakilisha second tier ya mashindani ya Africa sio ACL.
Yote umesema ni sawa nafasi ya 5 lakini hakuna tofauti na 6 niliyokosea mimi muhimu nje ya CL spot. Ila rekebisha hapo Liverpool alikuwa hana uhalali wa kuingia CL wakati huo UEFA kulikuwa hakuna sheria hiyo bingwa anaingia direct sio kweli ila kwa Liverpool sheria ikabadilishwa ili acheze CL na akaenda Final tena. Point kubwa hapa kuwa wa 3 au wa 4 kwenye league haimfanyi wa pili kuwa bora kuliko wewe, kwenye mashindano ya nje kule ni uzoefu wa yale mashindano. Azam hana uwezo huo na akienda atatia aibu round za mwanzo tu out.Sijaelewa hapa kwenye ishu ya Liverpool embu toa ufafanuzi vizuri.
Yaani msimu wa 2005 alichukua CL je unazungumzia kuhusu kushika nafasi ya 6 msimu upi? Mbona mnaongea uongo ili mradi kutaka kuhalalisha dhuluma kwenye soka? Embu njoo utaje msimu ambao Liverpool alipewa nafasi ya kushiriki klabu bingwa kwa upendeleo japokuwa kashika hiyo nafasi ya 6.
Ishu ya Misri, hiyo ilikuwa ni kipindi kile cha ugonjwa wa Covid 19, ligi ya Misri ikawa haijaisha huku mashindano ya klabu bingwa yalikuwa yanaanza hivyo kwa vyovyote vile wasingeweza kufanya namna ili wamalize ligi kwa wakati ili kuyawahi mashine ya CAF. Ndipo Misri wakatumia sheria iliyopo ndani ya CAF, ya kutumia msimamo wa ligi kuu msimu uliopita kutoa wawakilishi mashindano ya CAF.
Ishu ya Liverpool ilikuwa hivi;
Liverpool alipata ticket ya kucheza CL msimu wa 2004/2005 kutokana na kushika nafasi ya 4 katika ligi kuu ya Uingereza msimu wa 2003/2004.
Hivyo katika kushiriki kwake CL msimu wa 2004/2005 akaibuka bingwa wa CL msimu wa 2004/2005.
Wakati huo huo kwenye ligi ya Uingereza msimu huo huo ambao Liverpool imekuwa bingwa wa CL akashindwa kuingia top 4 badala yake akashika nafasi ya 5 nyuma ya Man U, Arsenal, Chelsea na Everton. Lakini sheria ya UEFA inasema kuwa bingwa wa CL anakuwa ame qualify kucheza mashindano ya msimu unaofuata hata kama kwenye ligi kuu ameshindwa ku qualify. Hivyo Liverpool akacheza CL ya msimu wa 2005/2006 kwa ticket ya bingwa mtetezi na kufanya Uingereza iingize timu tano CL na wala sio kama unasema wewe kuwa nchi ya Uingereza waliangalia maslahi ya nchi. Acheni dhana za kubebaba bebana kwenye mpira wa mguu kama jambo hilo litafanyika hapa Tanzania basi ni sisi Tanzania ndio tumeamua kufanya hivyo ila sio kwamba kuna mataifa mengine wanafanya hivyo.
Yote umesema ni sawa nafasi ya 5 lakini hakuna tofauti na 6 niliyokosea mimi muhimu nje ya CL spot. Ila rekebisha hapo Liverpool alikuwa hana uhalali wa kuingia CL wakati huo UEFA kulikuwa hakuna sheria hiyo bingwa anaingia direct sio kweli ila kwa Liverpool sheria ikabadilishwa ili acheze CL na akaenda Final tena. Point kubwa hapa kuwa wa 3 au wa 4 kwenye league haimfanyi wa pili kuwa bora kuliko wewe, kwenye mashindano ya nje kule ni uzoefu wa yale mashindano. Azam hana uwezo huo na akienda atatia aibu round za mwanzo tu out.
The Reds beat AC Milan in last season's final but, because they finished out of the Premiership's top four, were not guaranteed entry in 2005-2006. Uefa's executive committee changed its rules on Friday to allow Liverpool in.
Jibu lake wenzetu hawana team 2 tu kushabikiwa nchi nzima, team zote zina washabiki wake na wanajaza uwanja kila wiki iwe league sijui kikombe mpaka mechi za kirafiki. Nchi haikugawanyika na team 2. EPL ni kampuni na team zote zina share na wote wana vote sawa. Sasa sio sawa kufananisha wenzetu na sisi, sisi nchi nzima ni team 2 tu hao Azam wenyewe majumbani kwao wanavaa uyanga na usimba sasa hawa ndio wakatuwakilishe sisi?Ni kweli sheria ilibadilishwa na waliobadilisha ni UEFA wenyewe hivyo ni sahihi kuwa Liverpool alienda kushiriki CL kwa ticket ya bingwa mtetezi wa CL.
Na hilo tukio la bingwa wa UCL kushindwa kufuzu kwa ticket ya msimamo wa ligi kuu ndio lilitokea kwa mara ya kwanza tangu hayo mashindano yaanzishwe mwaka 1956, hapo kabla haikuwahi kutokea bingwa wa UCL kushindwa kufuzu kucheza CL kwa tiketi ya ligi kuu. Hivyo Liverpool ndio ilikuwa ni timu ya kwanza kubeba ubingwa wa UCL huku kwenye msimamo wa ligi kuu akiwa hana vigezo vya kushiriki UCL msimu unaofuata. Hivyo waliobadilisha ni wenyewe UEFA na ikabidilishwa ili kuipa favour timu yeyote ile itakayobeba ubingwa wa UCL kuutetea ubingwa wake.
Ingekuwa hicho mnawaza nyie ndio ipo hivyo, kwanini Liverpool ambaye anauzoefu wa UCL hakupewa favour msimu huu na shirikisho la soka la Uingereza kwa maslahi ya taifa lao na ili Newcastle ambayo haina uzoefu wasishiriki?
Jibu lake wenzetu hawana team 2 tu kushabikiwa nchi nzima, team zote zina washabiki wake na wanajaza uwanja kila wiki iwe league sijui kikombe mpaka mechi za kirafiki. Nchi haikugawanyika na team 2. EPL ni kampuni na team zote zina share na wote wana vote sawa. Sasa sio sawa kufananisha wenzetu na sisi, sisi nchi nzima ni team 2 tu hao Azam wenyewe majumbani kwao wanavaa uyanga na usimba sasa hawa ndio wakatuwakilishe sisi?
Haya ya Azam nadhani hakuna wa kulaumiwa ila ni wao wenyewe Azam. Shutuma dhidi yao sio mara ya kwanza, Jemedari alisema alifukuzwa kazi kwa sababu tu alishangilia team moja viongozi hawakupenda akafukuzwa. Leo striker wao bora kasema Azam hawako serious kuna usimba na Uyanga kwao ndio priority, nimekuja kuamini kwenye mechi ya Azam na Simba, kweli team mnaingia uwanjani kupigania point moja tu mnaenda kucheza kama mnacheza mechi ya kirafiki. Na Simba hii hawako vizuri unawapa mechi kirahisi.Kihistoria kila nchi huwa na timu mbili ambazo ndio mahasimu katika mafanikio ila tofauti ya sisi na wenzetu ni mentality ya kuona ni lazima iwe hizo timu 2 pekee wengine hawana uwezo, hawana haki. Wenzetu wanadumisha fair play kwenye mchezo wa mpira lakini sisi tunaunda kampeni maalumu ya kuifanya Azam wasishiriki michuano ya CAFCL kisa hana uzoefu.
Mpira ni biashara kwasasa hivyo hata hao Azam nao wanatamani washiriki klabu bingwa ili watimize ndoto na malengo yao. Kwani hao Simba na Yanga mpaka kufika hapa wamejaribu mara ngapi kucheza hiyo michuano na kuishia tu raundi za awali? Kujaribu ni kujifunza, kushiriki pia mara kwa mara pia ni kujifunza. Acheni kuvunja nguvu vilabu vingine kwa kuendeleza kwenu usimba na uyanga wakati watu wanatumia pesa kuendesha timu.
True Egypt walishafanya kwa Al Ahly. Wanatizama history ya team kwenye mashindano ya Africa. Mimi ningetamani Azam awe wa pili lakini ni ukweli kabisa hawawezi kutuwakilisha vizuri kulinda heshima tuliyoitafuta. Azam kaonesha hawezi sababu kisha shiriki kwenye kombe la pili Africa na ilikuwa aibu tu dhidi ya team ndogo tu sasa kweli Azam anaweza kukabiliana na kina Al Ahly, Raja au Mamelodi? jibu ni hapana.
Tuweke maslahi mapana ya mpira nafasi hizi wapewe Simba na Yanga. Hata EPL tumeona mwaka huu kuwa na Team kama Spurs( Azam ya UK) na Newcastle walichemka lakini pamoja na Liverpool kukosa nafasi hata Chelsea lakini wangepewa nafasi wangepambana.
Hata Azam kila mwaka wanapoteza Final. Spurs ndio team pekee yenye kutaka kushindana London bila kushinda kombe lolote. Azam ni kama Spurs tu, Azam ya kibongo na spurs ya UK. Nadhani uliona juzi wanaomba wafungwe na City basi ndio Azam huwa wanaomba kufungwa na wakubwa. Ndio kufanana kwao huko.spurs walipocheza fainali ya uefa ulikuwa haujaanza kufatilia mpira.