TFF hakikisheni Simba inakuwa ya pili ili iungane na Yanga kuiletea nchi heshima. Sio Azam

Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema Tff ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.

NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
WE TOFAUTI YAKO NI JF NA TUME YA UCHAGUZI CCM
 
Ndicho kinachomaanishwa, yaani kama marefa kupewa maelekezo, kama timu pinzani kupewa maelekezo au vyovyote vile ili Simba ipate nafasi ya pili. Ndio soka letu limefikia kwenye akili hizi
Kwa maslahi ya nchi
 
Yaani Al Ahly au Mamelod zije kucheza na Azam TUKOSE MAPATO kweli!!!!? Najua hata Tff yenyewe haiwezi kuukubali huu ujinga hata kidogo.
Azam lazima mechi moja afungwe au atoke sare ili SIMBA IWE YA PILI
 
Kama hao simba wapo serious na soka basi watapata nafasi ya pili, kama hawapo serious watakuwa wa tatu
 
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.

Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.

NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
Aza. cmhayawezi haya mashindano
 
Una akili za kitoto sana
Badilikeni muwe serious na sio ubabaishaji. Yaani timu ina rasilimali za kutosha pamoja na uwanja mzuri lakini ubabaishaji tu . Wachezaji wa maana mnasajili wanakuja halafu wanakuta viongozi na wamiliki wa timu full UBABAISHAJI. Kina Prince Dube wanataka kuonekana Duniana na sio kuonekana Dar es salaam, Zanzibar na Chamazi
 
Yaani Al Ahly au Mamelod zije kucheza na Azam TUKOSE MAPATO kweli!!!!? Najua hata Tff yenyewe haiwezi kuukubali huu ujinga hata kidogo.
Azam lazima mechi moja afungwe au atoke sare ili SIMBA IWE YA PILI
Mashabiki wa timu ndio hawatoenda uwanjani kuangalia mechi ya Azam dhidi ya Mamelodi au Al Ahly ila kwa mashabiki wa mpira wataenda vizuri tu kucheck hiyo mechi. Hiyo dhana ndio kudumaza soka kwa usimba na uyanga. Hata Azam wanastahili kushiriki hiyo michuano ili wawe na uzoefu.
 
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.

Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.

NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
Umeongea ujjnga
 
Badilikeni muwe serious na sio ubabaishaji. Yaani timu ina rasilimali za kutosha pamoja na uwanja mzuri lakini ubabaishaji tu . Wachezaji wa maana mnasajili wanakuja halafu wanakuta viongozi na wamiliki wa timu full UBABAISHAJI. Kina Prince Dube wanataka kuonekana Duniana na sio kuonekana Dar es salaam, Zanzibar na Chamazi
Kwa hyo unataka tff wapange matokeo?una jua madhara ya match fixed?
 
Upo sahihi lakini je Simba atashinda? Utakuta Azam kadroo Simba Naye kadroo [emoji3061][emoji23]
 
Naona maelekezo yanadumishwa kwa mkubwa kupewa penati ya mchongo.
 
Back
Top Bottom