Ile ya Misri nakumbuka walifanya vile kwasababu ligi haikufanikiwa kuisha kwa wakatiWakishindwa kbs wawe km Misri tu..watume majina ya wawakilishi ya Simba na Yanga. Kanuni inawaruhusu
Na Sudan wanavyopeleka majina ya timu zao kushiriki cafcl unajua ni kanuni ipi imetumika ? ..angalia kanuni za caf zinasemaje ?Ile ya Misri nakumbuka walifanya vile kwasababu ligi haikufanikiwa kuisha kwa wakati
Sudan wanatumia sheria hii kupeleka mwakilishi kama mashindano yao ya ndani hayakufanyika.Na Sudan wanavyopeleka majina ya timu zao kushiriki cafcl unajua ni kanuni ipi imetumika ? ..angalia kanuni za caf zinasemaje ?
Wakikujibu tuambiešKama ni serious na mpira inakuwaje hata nafasi ya pili aitafute kwa torch?
Are you suggesting for a match fixing?Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema Tff ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.
NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
Naunga mkono hojaKwa manufaa na heshima ya nchi ni vema Tff ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.
NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
Ndicho kinachomaanishwa, yaani kama marefa kupewa maelekezo, kama timu pinzani kupewa maelekezo au vyovyote vile ili Simba ipate nafasi ya pili. Ndio soka letu limefikia kwenye akili hiziAre you suggesting for a match fixing?
Ndicho kinachomaanishwa, yaani kama marefa kupewa maelekezo, kama timu pinzani kupewa maelekezo au vyovyote vile ili Simba ipate nafasi ya pili. Ndio soka letu limefikia kwenye akili hizi
Hili ni tusi kubwa sana kwa TFF.Ndicho kinachomaanishwa, yaani kama marefa kupewa maelekezo, kama timu pinzani kupewa maelekezo au vyovyote vile ili Simba ipate nafasi ya pili. Ndio soka letu limefikia kwenye akili hizi