Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
WE TOFAUTI YAKO NI JF NA TUME YA UCHAGUZI CCMKwa manufaa na heshima ya nchi ni vema Tff ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.
NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
Na watu wanasapoti huo ujinga.Hili ni tusi kubwa sana kwa TFF.
Kwa maslahi ya nchiNdicho kinachomaanishwa, yaani kama marefa kupewa maelekezo, kama timu pinzani kupewa maelekezo au vyovyote vile ili Simba ipate nafasi ya pili. Ndio soka letu limefikia kwenye akili hizi
Watanzania tunapenda sana mambo ya kubumba kubumba. Aende anayestahili sio kwenda kwa kupitia njia za panya za mipango.Kwa maslahi ya nchi
Aza. cmhayawezi haya mashindanoKwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.
NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
Badilikeni muwe serious na sio ubabaishaji. Yaani timu ina rasilimali za kutosha pamoja na uwanja mzuri lakini ubabaishaji tu . Wachezaji wa maana mnasajili wanakuja halafu wanakuta viongozi na wamiliki wa timu full UBABAISHAJI. Kina Prince Dube wanataka kuonekana Duniana na sio kuonekana Dar es salaam, Zanzibar na ChamaziUna akili za kitoto sana
Mashabiki wa timu ndio hawatoenda uwanjani kuangalia mechi ya Azam dhidi ya Mamelodi au Al Ahly ila kwa mashabiki wa mpira wataenda vizuri tu kucheck hiyo mechi. Hiyo dhana ndio kudumaza soka kwa usimba na uyanga. Hata Azam wanastahili kushiriki hiyo michuano ili wawe na uzoefu.Yaani Al Ahly au Mamelod zije kucheza na Azam TUKOSE MAPATO kweli!!!!? Najua hata Tff yenyewe haiwezi kuukubali huu ujinga hata kidogo.
Azam lazima mechi moja afungwe au atoke sare ili SIMBA IWE YA PILI
MECHI YA LEO DHIDI YA JKT SITEGEMEI AZAM KUSHINDA. ATAFUNGWA AU ATOKE SARE.Azam ingekuwa njaa kama Lipuli mngeshawapa hela tunajua hilo.
Umeongea ujjngaKwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.
NAFASI YA PILI KWA SIMBA NI MUHIMU SANA KWA NCHI YETU KULIKO AZAM
Kwa hyo unataka tff wapange matokeo?una jua madhara ya match fixed?Badilikeni muwe serious na sio ubabaishaji. Yaani timu ina rasilimali za kutosha pamoja na uwanja mzuri lakini ubabaishaji tu . Wachezaji wa maana mnasajili wanakuja halafu wanakuta viongozi na wamiliki wa timu full UBABAISHAJI. Kina Prince Dube wanataka kuonekana Duniana na sio kuonekana Dar es salaam, Zanzibar na Chamazi
Sawa ProfessorUmeongea ujjnga