TFF hakikisheni Simba inakuwa ya pili ili iungane na Yanga kuiletea nchi heshima. Sio Azam

Upo sawa Mkuu ila kwa maslahi mapana ya mpira wetu tunaomba Azam atupishe endapo atakuwa namba 2.
 
Halafu hata Mchezaji wao Prince Dube alisema akifunga dhidi ya Simba Maboss wake wanamnunia.
 
Siku zote watanzania hawapendi mabadiliko ndio maana mpaka leo ccm ipo madarakani na vyakula vikuu bado wali na ugali.


Na ukitaka kuwaletea kitu kipya watakipinga kwa nguvu zote bila sababu zozote za maana.
 
CafCC imefutwa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…