TFF hii inaiimarisha Yanga kwa uonevu

TFF hii inaiimarisha Yanga kwa uonevu

Ni psychological war (vita ya kisaikolojia TU) brother, nothing more, Yanga imesajili vizuri, Ina bench la ufundi safi na uongozi Bora, nothing more nothing less. Uchawi hauna nafasi, na TFF wataukuza kama watakuwa wanautaja kila wakati. Simba waliwasha moto uwanjani na kufungwa mechi pia. Kama uchawi ingekuwa unasaidia basi Nigeria ingekuwa bingwa wa dunia. Tiwache kuukuza uchawi bali tupambane na madawa ya kulevya, kusisimua misuli na Yale yanayolegeza misuli ya wachezaji wa timu pinzani yasitumiwe. Mbona hawawakatazi wale mashabiki wanaoingia na vikapu, njiwa, mchele na votochi uwanjani?
Kanuni na Sheria zipo wazi mkizivunja mkaadhibiwa mkae kimya na sio kulalamika
 
Nina uhakika wewe ni Simba kolo na nimefanikiwa lengo langu la kukukera na kukutoa shimoni!

Elimu yangu digrii 3 za kibabe ambazo ni sawa na ujumlishe elimu zenu wote wewe na ukoo wako mzima!! Niulize chochote kuhusu social science nitakujibu Kwa kurasa 100!! Mjinga sana wewe, shika hili, huwezi kujua elimu ya mtu kupitia comment tu, humu JF tunajifurahisha tu wewe umekuja kichwa kichwa toka Sengerema!!

Namshukuru Allah Umaskini si majaaliwa yangu alhamdulillah pesa ya kula ninayo, ya bando la kukukera kolo ninayo ila kiukweli ghorofa tu ndo Sina!

Kwa taarifa Yako Nyerere unaemuabudu alifundisha ujamaa ambao hakuuelewa na kulipoteza taifa! Huwezi kuwa mjamaa au kugawana mali huku wewe ukiwa ni maskini, ujamaa ni hatua iliyo nyuma ya ubepari yaani nchi lazima itajirike kwanza ndio iingie kwenye ujamaa Baada ya baadhi ya raia kuwa matajiri kupindukia na kunyonya wenzao kupindukia! Na ujamaa huja kwa mapinduzi ya kibabe ya wanaonyonywa ( proletariat revolution) dhidi ya capitalists! Ujamaa hauji kwa kutangaza tu eti sisi ni wajamaa!! Ujamaa ni mfumo wa nchi yenye matabaka mawili tu capitalists wamiliki wa vyanzo vya uchumi na proletariats wanyonge wasio na kitu zaidi ya kumwaga jasho kutumikia mabepari, huku Tanzania haiwezi kuwa na ujamaa sababu ni nchi maskini na ina matabaka mengi, capitalists, peasants, proletariat, middle class, metropolitans, yaani we hujui chochote kuhusu elimu wewe ni bendera tu zidumu fikra za mwenyekiti Nyerere unapiga makofi!!kwa taarifa Yako Nyerere ndio chanzo Cha Umaskini wetu kuingiza nchi vichakani kwa sera zake za kipumbavu za ujamaa ambao hakuuelewa! Mi nimesoma ujamaa vizuri ulaya yenyewe haswa nikasema Mungu wangu hivi Nyerere mbona alipoteza sana Taifa lake!!

Ficha ujinga wako siku ingine, mi napenda Yanga na napenda kukera Makolo!!

We hujui chochote, huna akili , nenda jukwaa la saizi Yako, jukwaa la mapenzi , humu JF huwa tunapinga hoja ya mtu sio kumpinga mtu mwenyewe binafsi! Humu JF hatuulizani elimu Wala utajiri au Umaskini na hili ni jukwaa la michezo sio la elimu na Umaskini au utajiri!!

Na Bado mtakoma!! Mpaka mseme!
Daah!! Nyerere alisema maadui watatu nchi hii ni ujinga, maradhi na umaskini! Kwa maandishi yako haya,wewe ni mjinga na ni masikini, nina uhakika wa asilimia tisini.
Huna maisha ya maana na pia huna elimu ya maana pole sana.
 
Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki wao waliokosea uwanjani badala yake wanatoa adhabu kwa timu nzima kwa makosa ya mashabiki wao wawili waliorudha chupa za maji uwanjani, double standard. Je, itaendelea na zoezi la kuwatafuta na kuwaadhibu mashabiki wa timu wanaokosea badala ya kuziadhibu timu kwa makosa ya mashabiki wao?

Angalia adhabu iliyopewa Simba kwa wachezaji kuchelewesha kuanza kwa mechi na matangazo ya mdhammi kwa kuchelewa kufika uwanjani kwa wakati ni sh. 1m TU, lakini Yanga kupitia mlango mwingine ni 5mil. Nani kafanya kosa kubwa kati ya Simba aliyechelewesha mchezo kuanza na matangazo ya mdhammi na Yanga aliyepitia mlango mwingine kuingia na kufika uwanjani kwa wakati?. Nani kasababisha hasara na usumbufu mkubwa kati ya hawa wawili? Nani alistahili adhabu kubwa kuliko mwingine?

Adhabu ya Halid Aucho ya kumfungia mechi 3 bila kumuadhibu Ajib kama vile hawakuona alichomfanyia Aucho ni dalili ya TFF kuikataa Yanga uwanjani. Kumfungia mechi tatu!!!!

Mungu Yuko pamoja na kila anaeonewa na kudhulumiwa, wanaipaka mafuta Yanga izidi kupaa kimataifa, inakomazwa na TFF kwaajili ya mashindano ya ndani na nje ya nchi. Hata mama anaemnyanyasa house girl na kumpendelea mwanawe ajue anampaka mafuta yule house girl na kumpaka mavi usoni mwanawe. TFF inawapaka mavi usoni Simba, coastal Union na Ibrahim Ajib badala ya kuwasaidia kukua.

Oneni aibu.
Unapingana na kanuni!!??? Ila sawa tuliambiwa huko kwenu wenye akili ni wawili tu!
 
Uko sahihi ila kwa Sasa hakuna namna ni kuweka Nia ya kufa kupona kushinda Kila mechi iliyoko mbele yetu zikiwemo za hao watoto wao pendwa(Simba na Azam ) tena tukikutana nao ni kuwapiga mbele ya baba zao hadi wachakae
UWANJA UTAONGEA

Yaani kuwakung'uta ki kweli kweli hadi baba yao huko alipo aende akatemee koozi chooni!
 
Kuna kocha aliwahi kusema mashabiki wa hii timu Ni manyani…
 
Yanga hili suala la kuingilia mlango usio rasmi inabidi wapigwe fine ya Mabilioni ndio watakoma, kila siku nyie khaa.
Binafsi, mi ninafikiri, kila timu ambayo inafanya kitendo cha imani ya kishirikina, ipigwe faini ndogo, pamoja na kupunguzwa pointi zake 3,kama imefungwa, 4 kama imetoka sare, na 6 kama imeshinda!
Sina shaka, hiyo tabia itakoma. Lakini ikibaki faini ya fedha tu, basi timu zitakuwa zinaweka hata bajeti ya faini kwa vitendo hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki wao waliokosea uwanjani badala yake wanatoa adhabu kwa timu nzima kwa makosa ya mashabiki wao wawili waliorudha chupa za maji uwanjani, double standard. Je, itaendelea na zoezi la kuwatafuta na kuwaadhibu mashabiki wa timu wanaokosea badala ya kuziadhibu timu kwa makosa ya mashabiki wao?

Angalia adhabu iliyopewa Simba kwa wachezaji kuchelewesha kuanza kwa mechi na matangazo ya mdhammi kwa kuchelewa kufika uwanjani kwa wakati ni sh. 1m TU, lakini Yanga kupitia mlango mwingine ni 5mil. Nani kafanya kosa kubwa kati ya Simba aliyechelewesha mchezo kuanza na matangazo ya mdhammi na Yanga aliyepitia mlango mwingine kuingia na kufika uwanjani kwa wakati?. Nani kasababisha hasara na usumbufu mkubwa kati ya hawa wawili? Nani alistahili adhabu kubwa kuliko mwingine?

Adhabu ya Halid Aucho ya kumfungia mechi 3 bila kumuadhibu Ajib kama vile hawakuona alichomfanyia Aucho ni dalili ya TFF kuikataa Yanga uwanjani. Kumfungia mechi tatu!!!!

Mungu Yuko pamoja na kila anaeonewa na kudhulumiwa, wanaipaka mafuta Yanga izidi kupaa kimataifa, inakomazwa na TFF kwaajili ya mashindano ya ndani na nje ya nchi. Hata mama anaemnyanyasa house girl na kumpendelea mwanawe ajue anampaka mafuta yule house girl na kumpaka mavi usoni mwanawe. TFF inawapaka mavi usoni Simba, coastal Union na Ibrahim Ajib badala ya kuwasaidia kukua.

Oneni aibu.
Ni ujinga wa Rais Msomali pale TFF

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Nina uhakika wewe ni Simba kolo na nimefanikiwa lengo langu la kukukera na kukutoa shimoni!

Elimu yangu digrii 3 za kibabe ambazo ni sawa na ujumlishe elimu zenu wote wewe na ukoo wako mzima!! Niulize chochote kuhusu social science nitakujibu Kwa kurasa 100!! Mjinga sana wewe, shika hili, huwezi kujua elimu ya mtu kupitia comment tu, humu JF tunajifurahisha tu wewe umekuja kichwa kichwa toka Sengerema!!

Namshukuru Allah Umaskini si majaaliwa yangu alhamdulillah pesa ya kula ninayo, ya bando la kukukera kolo ninayo ila kiukweli ghorofa tu ndo Sina!

Kwa taarifa Yako Nyerere unaemuabudu alifundisha ujamaa ambao hakuuelewa na kulipoteza taifa! Huwezi kuwa mjamaa au kugawana mali huku wewe ukiwa ni maskini, ujamaa ni hatua iliyo nyuma ya ubepari yaani nchi lazima itajirike kwanza ndio iingie kwenye ujamaa Baada ya baadhi ya raia kuwa matajiri kupindukia na kunyonya wenzao kupindukia! Na ujamaa huja kwa mapinduzi ya kibabe ya wanaonyonywa ( proletariat revolution) dhidi ya capitalists! Ujamaa hauji kwa kutangaza tu eti sisi ni wajamaa!! Ujamaa ni mfumo wa nchi yenye matabaka mawili tu capitalists wamiliki wa vyanzo vya uchumi na proletariats wanyonge wasio na kitu zaidi kumwaga jasho kutumikia mabepari, huku Tanzania haiwezi kuwa na ujamaa sababu ni nchi maskini na ina matabaka mengi, capitalists, peasants, proletariat, middle class, metropolitans, yaani we hujui chochote kuhusu elimu wewe ni bendera tu zidumu fikra za mwenyekiti Nyerere unapiga makofi!!kwa taarifa Yako Nyerere ndio chanzo Cha Umaskini wetu kuingiza nchi vichakani kwa sera zake za kipumbavu za ujamaa ambao hakuuelewa! Mi nimesoma ujamaa vizuri ulaya yenyewe haswa nikasema Mungu wangu hivi Nyerere mbona alipoteza sana Taifa lake!!

Ficha ujinga wako siku ingine, mi napenda Yanga na napenda kukera Makolo!!

We hujui chochote, huna akili , nenda jukwaa la saizi Yako, jukwaa la mapenzi , humu JF huwa tunapinga hoja ya mtu sio mtu mwenyewe binafsi!

Na Bado mtakoma!! Mpaka mseme!
Narudia tena wewe ni mjinga! Huna elimu wala maisha ya maana! Maandishi yako yanasadifu maisha yako! Pole sana, mtu akisoma maandishi yako between the lines atagundua kitu, haupo sawa.
 
Uko sahihi ila kwa Sasa hakuna namna ni kuweka Nia ya kufa kupona kushinda Kila mechi iliyoko mbele yetu zikiwemo za hao watoto wao pendwa(Simba na Azam ) tena tukikutana nao ni kuwapiga mbele ya baba zao hadi wachakae
UWANJA UTAONGEA
Mwaka huu tushapiga Simba na matawi yake ya Azam na Coastal union...[emoji16]
 
Mwisho wake ni pale tutakapobeba kombe msimu wa tatu mfululizo!
Na lile la champions!!! TFF Ina chuki za wazi ka wazi kwa Yanga, inacheza mpira nje ya uwanja. Yanga hii hata umfungie nani kwa muda gani tabu kwa timu itabaki palepale. Tutamuomba gamondi ambadilishie namba gift Fred aanzwe kucheza namba ya kaka yake Aucho pia kwa ufasaha.
 
Nguvu ya Yanga tunaiona Sasa, big up Kwa kuweka Uzi mwingine, Hawa TFF chini ya Mr Karai ni wapumbavu sana , lazima tupaze sauti kukemea double standards zao ambazo bila wao kujua zitaiimarisha zaidi Yanga,

Tumeshajua adhabu wanazoipa Yanga kiuonevu lengo lao TFF ni kumpunguza Kasi Eng Hersi ambae Sasa anakaa mezani na kina Motsepe na Rais wa Fifa akiwasalimia Kwa 5G na sio matopeni karume!

Yanga ikate rufaa BMT , CCM, Kwa Waziri wa Michezo , Fifa , Kwa Mwananchi Kikwete na Mama Samia maana kiukweli Aucho ndie roho ya Yanga katikati na ameonewa mbona wachezaji wengine wakiadhibiwa na refa imetosha TFF wanatulia kwanini Aucho tu ndo aongezewe adhabu? Kama ni hivyo Kila Mchezaji aliepewa kadi aongezewe adhabu na TFF, Ally Kamwe usikubali TFF wanakuharibia kikosi chako Cha ushindi! Nakujua we na Priva ni vijana wenye akili na ni wabishi msiwaachie wale Makolo waliovaa koti la TFF kujinafasi Kwa kumtoa kafara Aucho! Mabango ya 5G yanawauma sana TFF

Yanga tusikubali kuonewa TFF watazoea na siku ingine watafungia timu nzima itacheza Yanga B au Yanga Princess!!

Mpango wao eti Simba mbovu ichukue kombe la ligi na tayari umebuma pengo la points linakua na timu ndogo kama Namungo zimekaza Simba haitotoboa tuko paleeee!!

Refa aliechezesha kihalali mechi Simba vs Namungo atapewa shavu Afcon sio wengine marefa kama Singapore Big Stars vs Simba marefa wajinga wanaibeba Simba mbovu na CAF haina shida nao!
Kukata rufaa ni njia moja lakini kukaa kimya na kuongeza juhudi, umakini, ufundi na kushitaki kwa Mungu ni njia nyingine.
 
Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki wao waliokosea uwanjani badala yake wanatoa adhabu kwa timu nzima kwa makosa ya mashabiki wao wawili waliorudha chupa za maji uwanjani, double standard. Je, itaendelea na zoezi la kuwatafuta na kuwaadhibu mashabiki wa timu wanaokosea badala ya kuziadhibu timu kwa makosa ya mashabiki wao?

Angalia adhabu iliyopewa Simba kwa wachezaji kuchelewesha kuanza kwa mechi na matangazo ya mdhammi kwa kuchelewa kufika uwanjani kwa wakati ni sh. 1m TU, lakini Yanga kupitia mlango mwingine ni 5mil. Nani kafanya kosa kubwa kati ya Simba aliyechelewesha mchezo kuanza na matangazo ya mdhammi na Yanga aliyepitia mlango mwingine kuingia na kufika uwanjani kwa wakati?. Nani kasababisha hasara na usumbufu mkubwa kati ya hawa wawili? Nani alistahili adhabu kubwa kuliko mwingine?

Adhabu ya Halid Aucho ya kumfungia mechi 3 bila kumuadhibu Ajib kama vile hawakuona alichomfanyia Aucho ni dalili ya TFF kuikataa Yanga uwanjani. Kumfungia mechi tatu!!!!

Mungu Yuko pamoja na kila anaeonewa na kudhulumiwa, wanaipaka mafuta Yanga izidi kupaa kimataifa, inakomazwa na TFF kwaajili ya mashindano ya ndani na nje ya nchi. Hata mama anaemnyanyasa house girl na kumpendelea mwanawe ajue anampaka mafuta yule house girl na kumpaka mavi usoni mwanawe. TFF inawapaka mavi usoni Simba, coastal Union na Ibrahim Ajib badala ya kuwasaidia kukua.

Oneni aibu.
Mkuu acheni kulalamika mashabiki wa yanga waliwapiga na kuwafanyia vurugu mashabiki wa coastal union pale arusha kwenye fainali ya AZAM sports federation nilikuwepo uwanjani na shabiki mmoja wa coastal union alipigwa na mashabiki wa yanga mpaka akafariki yanga hamkupewa adhabu yoyote au umesahau mkuu.
 
Mlango usio rasmi n mlango gani? Unaathiri nini mchezo wa mpira? Psychology tu kwa washirikina.
Jambo lolote bila kufuata taratibu ni vurugu. Kwa hiyo leo hamtaki kufuata taratibu zilizowekwa za kuingia uwanjani, mnadai ni psychological war, kesho mtadai nini, hamtaki kusalimia wachezaji wa timu pinzani?

Naunga mkono hoja ya kuongeza adhabu kwa vitendo hivi kwa kutoza faini kubwa zaidi.
 
Mkuu acheni kulalamika mashabiki wa yanga waliwapiga na kuwafanyia vurugu mashabiki wa coastal union pale arusha kwenye fainali ya AZAM sports federation nilikuwepo uwanjani na shabiki mmoja wa coastal union alipigwa na mashabiki wa yanga mpaka akafariki yanga hamkupewa adhabu yoyote au umesahau mkuu.
Kwanini TFF haikumtafuta aliyemuua mshabiki wa coastal kama walivyomtafuta aliyempiga shabiki wa Yanga? Nani aliwaziia kufanya hivyo?
 
Back
Top Bottom