TFF hii inaiimarisha Yanga kwa uonevu

Kanuni na Sheria zipo wazi mkizivunja mkaadhibiwa mkae kimya na sio kulalamika
 
Nina uhakika wewe ni Simba kolo na nimefanikiwa lengo langu la kukukera na kukutoa shimoni!

Elimu yangu digrii 3 za kibabe ambazo ni sawa na ujumlishe elimu zenu wote wewe na ukoo wako mzima!! Niulize chochote kuhusu social science nitakujibu Kwa kurasa 100!! Mjinga sana wewe, shika hili, huwezi kujua elimu ya mtu kupitia comment tu, humu JF tunajifurahisha tu wewe umekuja kichwa kichwa toka Sengerema!!

Namshukuru Allah Umaskini si majaaliwa yangu alhamdulillah pesa ya kula ninayo, ya bando la kukukera kolo ninayo ila kiukweli ghorofa tu ndo Sina!

Kwa taarifa Yako Nyerere unaemuabudu alifundisha ujamaa ambao hakuuelewa na kulipoteza taifa! Huwezi kuwa mjamaa au kugawana mali huku wewe ukiwa ni maskini, ujamaa ni hatua iliyo nyuma ya ubepari yaani nchi lazima itajirike kwanza ndio iingie kwenye ujamaa Baada ya baadhi ya raia kuwa matajiri kupindukia na kunyonya wenzao kupindukia! Na ujamaa huja kwa mapinduzi ya kibabe ya wanaonyonywa ( proletariat revolution) dhidi ya capitalists! Ujamaa hauji kwa kutangaza tu eti sisi ni wajamaa!! Ujamaa ni mfumo wa nchi yenye matabaka mawili tu capitalists wamiliki wa vyanzo vya uchumi na proletariats wanyonge wasio na kitu zaidi ya kumwaga jasho kutumikia mabepari, huku Tanzania haiwezi kuwa na ujamaa sababu ni nchi maskini na ina matabaka mengi, capitalists, peasants, proletariat, middle class, metropolitans, yaani we hujui chochote kuhusu elimu wewe ni bendera tu zidumu fikra za mwenyekiti Nyerere unapiga makofi!!kwa taarifa Yako Nyerere ndio chanzo Cha Umaskini wetu kuingiza nchi vichakani kwa sera zake za kipumbavu za ujamaa ambao hakuuelewa! Mi nimesoma ujamaa vizuri ulaya yenyewe haswa nikasema Mungu wangu hivi Nyerere mbona alipoteza sana Taifa lake!!

Ficha ujinga wako siku ingine, mi napenda Yanga na napenda kukera Makolo!!

We hujui chochote, huna akili , nenda jukwaa la saizi Yako, jukwaa la mapenzi , humu JF huwa tunapinga hoja ya mtu sio kumpinga mtu mwenyewe binafsi! Humu JF hatuulizani elimu Wala utajiri au Umaskini na hili ni jukwaa la michezo sio la elimu na Umaskini au utajiri!!

Na Bado mtakoma!! Mpaka mseme!
Daah!! Nyerere alisema maadui watatu nchi hii ni ujinga, maradhi na umaskini! Kwa maandishi yako haya,wewe ni mjinga na ni masikini, nina uhakika wa asilimia tisini.
Huna maisha ya maana na pia huna elimu ya maana pole sana.
 
Unapingana na kanuni!!??? Ila sawa tuliambiwa huko kwenu wenye akili ni wawili tu!
 
Uko sahihi ila kwa Sasa hakuna namna ni kuweka Nia ya kufa kupona kushinda Kila mechi iliyoko mbele yetu zikiwemo za hao watoto wao pendwa(Simba na Azam ) tena tukikutana nao ni kuwapiga mbele ya baba zao hadi wachakae
UWANJA UTAONGEA


Yaani kuwakung'uta ki kweli kweli hadi baba yao huko alipo aende akatemee koozi chooni!
 
Kuna kocha aliwahi kusema mashabiki wa hii timu Ni manyani…
 
Yanga hili suala la kuingilia mlango usio rasmi inabidi wapigwe fine ya Mabilioni ndio watakoma, kila siku nyie khaa.
Binafsi, mi ninafikiri, kila timu ambayo inafanya kitendo cha imani ya kishirikina, ipigwe faini ndogo, pamoja na kupunguzwa pointi zake 3,kama imefungwa, 4 kama imetoka sare, na 6 kama imeshinda!
Sina shaka, hiyo tabia itakoma. Lakini ikibaki faini ya fedha tu, basi timu zitakuwa zinaweka hata bajeti ya faini kwa vitendo hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ujinga wa Rais Msomali pale TFF


Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena wewe ni mjinga! Huna elimu wala maisha ya maana! Maandishi yako yanasadifu maisha yako! Pole sana, mtu akisoma maandishi yako between the lines atagundua kitu, haupo sawa.
 
Uko sahihi ila kwa Sasa hakuna namna ni kuweka Nia ya kufa kupona kushinda Kila mechi iliyoko mbele yetu zikiwemo za hao watoto wao pendwa(Simba na Azam ) tena tukikutana nao ni kuwapiga mbele ya baba zao hadi wachakae
UWANJA UTAONGEA
Mwaka huu tushapiga Simba na matawi yake ya Azam na Coastal union...[emoji16]
 
Mwisho wake ni pale tutakapobeba kombe msimu wa tatu mfululizo!
Na lile la champions!!! TFF Ina chuki za wazi ka wazi kwa Yanga, inacheza mpira nje ya uwanja. Yanga hii hata umfungie nani kwa muda gani tabu kwa timu itabaki palepale. Tutamuomba gamondi ambadilishie namba gift Fred aanzwe kucheza namba ya kaka yake Aucho pia kwa ufasaha.
 
Kukata rufaa ni njia moja lakini kukaa kimya na kuongeza juhudi, umakini, ufundi na kushitaki kwa Mungu ni njia nyingine.
 
Mkuu acheni kulalamika mashabiki wa yanga waliwapiga na kuwafanyia vurugu mashabiki wa coastal union pale arusha kwenye fainali ya AZAM sports federation nilikuwepo uwanjani na shabiki mmoja wa coastal union alipigwa na mashabiki wa yanga mpaka akafariki yanga hamkupewa adhabu yoyote au umesahau mkuu.
 
Mlango usio rasmi n mlango gani? Unaathiri nini mchezo wa mpira? Psychology tu kwa washirikina.
Jambo lolote bila kufuata taratibu ni vurugu. Kwa hiyo leo hamtaki kufuata taratibu zilizowekwa za kuingia uwanjani, mnadai ni psychological war, kesho mtadai nini, hamtaki kusalimia wachezaji wa timu pinzani?

Naunga mkono hoja ya kuongeza adhabu kwa vitendo hivi kwa kutoza faini kubwa zaidi.
 
Kwanini TFF haikumtafuta aliyemuua mshabiki wa coastal kama walivyomtafuta aliyempiga shabiki wa Yanga? Nani aliwaziia kufanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…