TFF hii inaiimarisha Yanga kwa uonevu

Shida yetu hata TFF inaamini uchawi. Tuogope sumu na dawa sio uchawi.
 
Shida yetu hata TFF inaamini uchawi. Tuogope sumu na dawa sio uchawi.
Mnasema mlikwepa kutumia njia rasmi kwa kuwa mnadai wapinzani wenu walitega makitu, kwa nini tusiamini nyie ndiyo mliweka makitu katika njia hizo rasmi mkajua njia ambayo iko salama ni ipi?

Matendo, viashiria na dalili zote za ushirikina katika michezo zipigwe vita bila kupepesa macho.
 
Ni kweli Aucho alifanya kosa na anastahili adhabu, lakini inashangaza kwa nini Ajibu hakuadhibiwa wakati alifanya kitendo kile kile.
 
Kiongozi gani alisema hiki unachokisema hapa? Au umeamua kuwasemea?
 
Kiongozi gani alisema hiki unachokisema hapa? Au umeamua kuwasemea?
Ndiyo wote mnavyosema mitandaoni na nimemsikia mwanayanga anayekusanya michango kulipa hiyo faini akisema hivyo. Kwa hiyo sasa hivi mnajikita kwenye kichaka cha hakuna kiongozi aliyetamka maneno hayo? Uto bana, mtakua liniii?
 
Kwanini TFF haikumtafuta aliyemuua mshabiki wa coastal kama walivyomtafuta aliyempiga shabiki wa Yanga? Nani aliwaziia kufanya hivyo?
Kwasababu coastal union sio sawa na simba na yanga team zote za league kuu hazipati equal treatment kama simba na yanga ndio maana huwezi kuta simba na yanga wanacheza saa 8 mchana.
 
Ndiyo wote mnavyosema mitandaoni na nimemsikia mwanayanga anayekusanya michango kulipa hiyo faini akisema hivyo. Kwa hiyo sasa hivi mnajikita kwenye kichaka cha hakuna kiongozi aliyetamka maneno hayo? Uto bana, mtakua liniii?
Yanga ni timu yenye uongozi wake unaotambulika! Nimekuuliza ni kiongozi gani Yanga aliyesema hayo maneno? Wewe unaleta habari za watu wa mitandaoni.

Basi sawa. Nimekuelewa kijana wa Mangungu.
 
Kuna sheria yoyote kwenye zile sheria 17 za mpira inayosema huu mlango wa uwanja ni rasmi, na mwingine siyo rasmi? Vijana wa Rage bure kabisa.
Hata jambo dogo tuu la kutofautisha sheria 17 za soka na kanuni za ligi hamjui?
 
Mnavunja kanuni kwa makusudi zaidi ya maramoja, mkuadhibiwa mnalalamika mnaonewa, mkaanzishe ligi yenu sasa
 
Yanga ni timu yenye uongozi wake unaotambulika! Nimekuuliza ni kiongozi gani Yanga aliyesema hayo maneno? Wewe unaleta habari za watu wa mitandaoni.

Basi sawa. Nimekuelewa kijana wa Mangungu.
Kwa hiyo umeamua kabisa ujitetee kwa angle hiyo? Halafu mbona hakuna kiongozi wenu yoyote aliyetoka kulalamikia hiyo faini na badala yake mmeanza kampeni za kukusanya michango kuilipa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…