TFF inaendesha mpira kwa kupendelea Simba


Wewe jamaa ni mbishi na haujui kitu kuhusu CAF ranking. Ni vyema ukajifunza kwanza maana umekazania currently Simba ni ya 10 kama vile mashindano ya msimu wa 2022/2023 yametamatika. Hiyo ni rank ya msimu wa 2021/2022 ambayo ndio imetumika katika mashindano ya msimu huu wa 2022/2023.

Hizo zilizolingana point ndio inetokea hivyo point zao zimelingana kutokana na performance zao kwa misimu mitano mfululizo. Pamoja na kulingana point kuna vigezo vingine hutumika na ndio maana unaona timu B anakaa juu ya timu ya A pamoja na point zao kuwa sawa. Huoni timu zilizokuwa kwenye position moja kama ni wa 12 wanaofatia wanaenda kwenye 14 badala ya 13 maanake wanaolingana point wamechukua nafasi mbili

Baada ya michuano ya msimu huu ( CAF champions league na confederation cup ) kutamatika ndipo watafanya tena ranking kwa kuchukua performance za timu na mashirikisho yao kwa miaka mitano wakianzia msimu huu wa 2022/2023 itakayotoa Muongozo kuelekea msimu mpya wa CAF inter club 2023/2024
 
Unadhani TFF wangebariki kama mdhamini hajaridhia?
 
TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele,
Hata Yanga ikialikwa kucheza mechi na timu ya UEFA, TFF haina shida, itaahirisha mechi zake. Tatizo Yanga haipati mialiko 🤣🤣🤣
 
Pesa inaongea. Halafu simba haitokuwa daraja moja sawa na utopolo miaka buku
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC miaka 100 yenyewe kuiona ni ngekewa, sembuse miaka buku?

Aden Rage ajengewe sanamu lake pale KARIAKOO mara 1 [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Achana na huyo Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC atakupotezea muda, kwanza elimu yenyewe unampa bure ilihali hakuna kabisa cha bure duniani kote.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…