Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 479
- 670
- Thread starter
-
- #21
lakini katika yote huyu Wallace Karia ana shida gani na Yanga? au anaamini yeye ni Mkubwa kuliko Yanga?Ilishawahi kutungwa kanuni ya bench la timu kuto vaa vipensi, Hii ikitokea baada ya aliyekua kocha wa Yanga kuwa ana vaa pensi akiwa uwanjani, Tff hii hii ya Karia, Baada ya Zahera kuondoka Yanga kwasasa kanuni iyo haifanyikazi, Matola kocha wa Simba anavaa pensi na abugudhiwi.
Wallace Karia hana shida yeyote na Yanga wao uto ndiyo wenye shida naye kila kukicha!lakini katika yote huyu Wallace Karia ana shida gani na Yanga? au anaamini yeye ni Mkubwa kuliko Yanga?
shida gani?Wallace Karia hana shida yeyote na Yanga wao uto ndiyo wenye shida naye kila kukicha!
hahaha so issue ni kuwa yanga haijui nani wakumtoa? au hoja yako ni ipi hasa?Simba waliielekeza TFF ikate jina la Francis Kahata iweke la Perfect Chikwende. Sasa badala ya kuanza kulalamika, hebu tueleze kwa uwazi kabisa, ili nafasi ya Tuisila Kisinda ipatikane, Yanga waliieleza TFF ikate jina la mchezaji gani?
Mchezaji anawezaje ku qualify kucheza michuano ya CAF Bila kwanza ku qualify kucheza ndani.Mwaka huo kanuni zilikuwa zinaruhusu wachezaji 12 CAF na wachezaji 10 wa ligi ya Bara, kwa hiyo ukipeleka majina ya wachezaji 12 TFF inabidi useme nani akatwe. Kanuni za mwaka huu zimebadilika kwa upande wa TFF, na zimeruhusu kusajili wachezaji 12 sawa na wa CAF. Sasa ukipeleka majina 13, huyo aliyezidi atacheza ligi gani? Na kama haujasema nani akatwe, si anakatwa wa mwisho? Au ulitaka TFF ichague yeyote ili Tuisila aingizwe, je TFF ingemchagua Mayele, si mngeenda hadi kwa Mama Samia? Kwa nini msikate wenyewe
Hapana.shida ni KANUNI NA SHERIA NI MSUMENO.siku ukikukata usilalamike.wachezaji wa kigeni mwisho 12.mngemtoa Nani hapo?kwa akili zenu mngesema mngemtoa kwa mkopo mchezaji mmoja.mngempeleka wapi?Kwahiyo shida ipo hapa!?
Kama chama cha soka cha nchi husika kinaruhusu ligi yake iwe na wachezaji 12, na CAF inaruhusu wawe 40, ni jukumu la klabu kutaja nani awemo kwenye ligi ya ndani na ya CAF, na nani awemo kwenye ligi ya CAF tu. Ukipeleka majina bila kutaja huo mchanganuo, TFF itakata kwenye mstari wakeUnapotoa hoja Uwe unajua ukweli wa unachoongea vinginevyo utaonekana kituko.. CAF haina idadi ya wachezaji wangapi wawe wa ndani wangapi wawe wa nje. Mwaka huu kutokana na Uviko timu imeruhusiwa hadi wachezaji 40 na si 12 kama unavyosema.
Wataje kwa majina, usiseme huyu na huyu. Mbona Tuisila anatajwa kwa jina, hao au huyo anayekatwa kwa nini hatajwi? Na umejiuliza ni kwa nini haya madai hayatolewi na uongozi wa Yanga, ila yanatolewa na Manara?CAF inaruhusu wachezaji 40 na Yanga iko CAF. Yanga ndo wamesema huyu na huyu watakuwa wa ndani na waliobaki watakuwa wa CAF. Hapo kanuni gani wamevunja Yanga?
Kahata ilikuwa hivyo, usiseme haiwezekani. Alicheza ya kimataifa ila ndani alikuwa hacheziMchezaji anawezaje ku qualify kucheza michuano ya CAF Bila kwanza ku qualify kucheza ndani.
League inaruhusu kusajiri wachezaji 10 hata Kama CAF hawana hicho kigezo, hao 12 ili wacheze michuano ya CAF lazima kwanza wasajiriwe na Simba katika ligi ambayo inaruhusu kusajiri wachezaji 10 tu wa kigeni.
Swali la msingi ni kuwa Kisinda kasajiliwa ndani ya dirisha au baada ya dirisha? au kuna deadline mbili ndani ya dirisha moja la usajili?Watopolo mbona hamtaki kutumia akili au alivyosema Haji kuwa nyie ni hamnazo?
Mtaje kwa jina, mbona wewe mwenyewe mwananchi lakini hujui ni nani amekatwa, ila unafuata tu anachosema Manara? Umesikia uongozi wa Yanga umelalamika?hahaha so issue ni kuwa yanga haijui nani wakumtoa? au hoja yako ni ipi hasa?
Alicheza lakini haikuwa shahihi. Kwangu Mimi walivunja kanuniKahata ilikuwa hivyo, usiseme haiwezekani. Alicheza ya kimataifa ila ndani alikuwa hachezi
Basi nenda CAS kalalamike kwa niaba ya timu zilizoondolewa na Simba kule CAFAlicheza lakini haikuwa shahihi. Kwangu Mimi walivunja kanuni
Duuu, nadhani we ndo zile maiti wanazosemaga Wakenya.Basi nenda CAS kalalamike kwa niaba ya timu zilizoondolewa na Simba kule CAF
Mtatuambia Kahata na Chikwende ilikuwa nchi gani?Watopolo mbona hamtaki kutumia akili au alivyosema Haji kuwa nyie ni hamnazo?
Na Yanga wametaja. Soma hiyo barua ya Clifford utagundua tatizo siyo kutaja ila ni kulazimisha wachezaji wawe 12. Ndo maana tusio na upande tunauliza Kahata na Chikwende ilikuwa nchi gani?Kama chama cha soka cha nchi husika kinaruhusu ligi yake iwe na wachezaji 12, na CAF inaruhusu wawe 40, ni jukumu la klabu kutaja nani awemo kwenye ligi ya ndani na ya CAF, na nani awemo kwenye ligi ya CAF tu. Ukipeleka majina bila kutaja huo mchanganuo, TFF itakata kwenye mstari wake
hio haiwez kuwa sababu, haiwezekan wao wenyew waombe kuongeza mtu halafu wasijue nanii wakumreplace, kutakua na sababu ya kikanuni tu na sio hio unayosema wwMtaje kwa jina, mbona wewe mwenyewe mwananchi lakini hujui ni nani amekatwa, ila unafuata tu anachosema Manara? Umesikia uongozi wa Yanga umelalamika?