TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

Wataje kwa majina, usiseme huyu na huyu. Mbona Tuisila anatajwa kwa jina, hao au huyo anayekatwa kwa nini hatajwi? Na umejiuliza ni kwa nini haya madai hayatolewi na uongozi wa Yanga, ila yanatolewa na Manara?
Yacouba na Kambole.
 
Kipaumbele namba1 ELIMU, Kipaumbele namba2 ELIMU, Kipaumbele namba3 ELIMU, saiv ndyo naelewa sera za yule Babu wa Mabadiliko, ww mleta mada pmja na iyo timu yenu Tafuteni ELIMU kwanza mzijue kanuni na sheria za usajili, msiwe mnafanya mambo ya kizamani hatupo kwenye zama za mawe
 
Alicheza lakini haikuwa shahihi. Kwangu Mimi walivunja kanuni
Kama haijuwa sahihi,
Aliruhusiwa na nani?
Je, wewe unayejifanya hujui kama alicheza ulisema chochote?
Kama haikuwa sahihi kama unavyosema, sasa Simba iadhibiwe au TFF?
 
Kahata ilikuwa hivyo, usiseme haiwezekani. Alicheza ya kimataifa ila ndani alikuwa hachezi
yah ufafanuzi wa issue ya kahata iliwezekanaje na hii ya yanga inashndknaje utaondoa utata
 
Na umejiuliza ni kwa nini haya madai hayatolewi na uongozi wa Yanga, ila yanatolewa na Manara?
Ile nadharia ya Haji Manara kuihujumu yanga kimtindo naanza kuiona. Anawachochea na kuwajaza upepo kuwa TFF inawaonea nao kwa uzumbukuku wao wanaingia kichwa kichwa. Haji anajua anachokifanya siku akiwageuzia kibao atajifanya kuwa alikuwa amelewa pombe.
 
Kipaumbele namba1 ELIMU, Kipaumbele namba2 ELIMU, Kipaumbele namba3 ELIMU, saiv ndyo naelewa sera za yule Babu wa Mabadiliko, ww mleta mada pmja na iyo timu yenu Tafuteni ELIMU kwanza mzijue kanuni na sheria za usajili, msiwe mnafanya mambo ya kizamani hatupo kwenye zama za mawe
toa elimu hio basi
 
Kifupi Huna Hoja.
 
Tuvute pumzi kidogo tuache mihemko.
Mimi nilivyoelewa kulingana na press release ya Ndimbo, Hoja ya TFF ni kuwa " Yanga Wamesjili wachezaji wa kigeni zaidi ya 12 walioruhusiwa na TFF msimu huu". Swali ni jee ikiwa CAF wanaruhusu wachezaji hata 40 na TFF 12 pekee, kanuni zinaku-applied vipi hapa?
 
Kahata na Chikwende ilikuwa ndani ya dirisha ndogo, kanuni huwa zinatofauntiana kulingana na matukio ya wakati huo
msimu ule kanuni ilikuwa ni wachezaji kumi wa kigeni, hakukuwa na mabadiliko yoyote ya kanuni toka TFF
 
msimu ule kanuni ilikuwa ni wachezaji kumi wa kigeni, hakukuwa na mabadiliko yoyote ya kanuni toka TFF
Swali linakuja kwanini Kahata jina lake lilikatwa kwenye ligi ya ndani!? Au kwanini Chikwende hakusajiliwa kucheza mechi za kimataifa!?
 
Tuvute pumzi kidogo tuache mihemko.
Mimi nilivyoelewa kulingana na press release ya Ndimbo, Hoja ya TFF ni kuwa " Yanga Wamesjili wachezaji wa kigeni zaidi ya 12 walioruhusiwa na TFF msimu huu". Swali ni jee ikiwa CAF wanaruhusu wachezaji hata 40 ni TFF 12 pekee, kanuni zinaku-applied vipi hapa?
Swali,
Mfano Yanga imeingia mutual agreement na Kambole kuvunja Mkataba, it means vacancy ile iliyoachwa haiwezi kufanyiwa utilization!?
 
CAF inaruhusu 40 lkn haisemi kuwa lazima wawe wa kigeni so still kanuni ya wachezaji 12 haina shida, ila issue ya kikwende iliwezekana vp maana simba walikua na wachezaji zaid ya 10 wa kigen waliokua wanaruhusiwa kikanun msimu ule
 
Swali,
Mfano Yanga imeingia mutual agreement na Kambole kuvunja Mkataba, it means vacancy ile iliyoachwa haiwezi kufanyiwa utilization!?
mpk wavunje kwanza hio vacancy ionekane, ni issue kuwa official
 
Unapotoa hoja Uwe unajua ukweli wa unachoongea vinginevyo utaonekana kituko.. CAF haina idadi ya wachezaji wangapi wawe wa ndani wangapi wawe wa nje. Mwaka huu kutokana na Uviko timu imeruhusiwa hadi wachezaji 40 na si 12 kama unavyosema.
Wewe naye unapotosha, CAF wanaruhusu hadi wachezaji 40, ndio wasajiriwe ili kutumike kwenye mashindano yao, lakini kila shirikisho la nchi lina kanuni zake, za idadi ya wachezaji wa kigeni wanaoweza kusajiriwa , ndii maana kuna nchi wanaruhusu 5, na sisi hapa ni 12.madamu wasizidi 40, hata tukisema hakuna mchezaji wa kigeni anaruhusiwa hapa nchini, sio kosa.
 
CAF inaruhusu 40 lkn haisemi kuwa lazima wawe wa kigeni so still kanuni ya wachezaji 12 haina shida, ila issue ya kikwende iliwezekana vp maana simba walikua na wachezaji zaid ya 10 wa kigen waliokua wanaruhusiwa kikanun msimu ule
Ndugu, hoja ya TFF ni kwamba hata kama CAF wanaruhusu wachezaji wa kigeni zaidi ya 12 kwenye michuano yao; wao TFF hawataki wazidi 12!.

Issue ni kanuni hii ya TTF inaweza override kanuni ya CAF kwenye michuano ya CA?

Naomba nijibiwe hapa.
 
Swali linakuja kwanini Kahata jina lake lilikatwa kwenye ligi ya ndani!? Au kwanini Chikwende hakusajiliwa kucheza mechi za kimataifa!?
nakuelewa but hio loophole ndio waliotk watumie yanga but inaonekn kugoma
 
Back
Top Bottom