Nachojiuliza mimi , Viongozi wa Yanga huwa hawakosei isipokuwa Karia tu?
Na kwa nini iwe Yanga tu ndio tuwe wa kuonewa kila siku wakati ligi ina timu 16 na hatusikii malalamiko kwa hivyo vilabu vingine?
Je, hakuna jambo zuri hata Moja ambalo Tff ya karia imewahi kutufanyia tangu waingie madarakani?
Je ,mbona lile sakata la udhamini wenza wa GSM katika ligi ya NBC hatukuwahi kuilaumu Tff kwa kukiuka kanuni badala yake tuliwapongeza ?
Itoshe tu kusema , Karia na Tff yake hata akitufanyia mazuri ya namna gani kamwe hatuwezi kushukuru. Hapa ndipo ule msemo usemao " Nyama ikidondoka kwenye majivu hata ukiiosha namna gani kamwe haiwezi kutakata"
Sent from my Infinix X612 using
JamiiForums mobile app