Nimeshaeleza kuwa Simba walitaja kabisa kwa jina kuwa anayekatwa awe Kahata. Yanga wamemtaja mchezaji gani? TFF ulitaka ikaye yeyote hata Mayele? Usiwe na kichwa kigumu. Nimekudokeza kidogo, unadhani kwa nini haya madai ya kuonewa hayajatolewa na uongozi wa Yanga ila yametolewa na Haji Manara? Kwamba unadhani uongozi wa Yanga haujui utaratibu? Wanajua, ndio maana wakawa wapole, ila ili kujivua lawama kwa washabiki wao, wakamtuma mtu ambaye TFF haimtambui kama kiongozi ili awajaze upepo wananchi wajione kama wameonewa