TFF kilichoshindikana kwa Tuisila Kisinda kiliwezekana kwa Perfect Chikwende (double standard)

Kumbuka ilikuwa wakati wa usajili wa dirisha dogo. Chikwende alishacheza michuano ya CAF akiwa na timu yake ya Platnum hivyo Simba wakamsajili kwa ajili ya ligi Kuu tu.
sasa kwanini KAHATA jina lake lilitolewa katika wachezaji wanaocheza ligi kuu?
 
Waende tena CAS
 
Na yule mropokaji Haji Manara ndiye anazidi kuwavuruga kwani hata wachangiaji wengi humu wananukuu kauli za upotoshaji za Haji Manara.
Kwahiyo hao Mashabiki wao hata kale kaufahamu ka kujua tu kwamba hapa viongozi wetu wamechemka wao hawana ?

Basi , kama ni hivyo haji keshawaona ni mazezeta anajidanganyia kadri anavyoweza.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli kanuni za caf ziko wazi,unaweza kuoeleka hata majina 40 ya wachezaji
 
Yes lakini wawe na leseni kutoka nchi husika, tanzania inaruhusu 12 foreign players,morocco 4....sasa mnataka 13 wa nini
TFF walielezwa kabisa kuwa KAMBOLE ana majeruhi ya muda mrefu hivyo jina lake linatoka linaingia la KISINDA
 
lilitolewa ili wabaki wachezaji 10 tu wa kigeni kucheza ligi kuu kama kanuni zao (TFF) zinavyotaka.
Hawataki elewa hilo hata hii 40 ya caf ndo iwe tiketi ya kulundika wachezaji zaidi ya 12, na kahata ile mechi simba anafungwa zimbabwe alikuwepo,chikwende kaja dirisha dogo wasubiri december kimfukuza huyo majeruhi kambole
 
Chikwende alisajiliwa dirisha dogo
 
yea kimsingi TFF haitaki tena trick ambayo simba waliitumia kwa chikwende, yanga wanataka watumie ile trick, ndio maana kuna hayo malalaiko,
hakukuwa na trick ndiyo maana Simba iliongeza wachezaji wengine kama vile yule beki Muduwa na mmoja simkumbuki jina waliosajiliwa kucheza michuano ya CAF tu na siyi ligi kuu.
 
Sababu caf waliweka sheria ya dharura ya covid 19 siyo kahata tu, kulikuwa na beki wa zimbabwe peter muduhwa na lokosa jr pia walikuwa kwa ajili ya caf games,sheria haipo tena labda caf waliitoa kwa kuionea wivu yanga
Hiyo sheria ya COVID ipo bado na kama haipo ni lini ilikuwa abolished?
 
Matola ni head coach?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…